HAKUNA UTATA!. Mtihani ni mwezi wa tano. Mtihani utafanyika mwezi wa pili pale tu wadau wakishinikiza na kuwa na sababu nzito kama:1. Elimu ya form 5 na 6 ni miaka miwili, je hii miezi mi3 ya nini?2. Nani atalipia miezi hii mi3 wanafunzi kukaa shule? Serikali?, Wazazi? Wamiliki wa shule?3. Shule nyiingi makini, silabus inakaribia kwisha, MIEZI 3-5 wanafunzi watafundishwa nini?4. Kwa nini Maamuzi haya yamefanyika ghafla namna hii? BARAZA la mitihani tayari limetoa ratiba. Je, taasisi za serikali hazina mawasiliano?