Mitihani sasa kusahihishwa na mashine.

Mitihani sasa kusahihishwa na mashine.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kauli ya Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Rose Ndalichako, eti mitihani ya darasa la Saba kusahihishwa na machine, ziitwazo Optical Marker Reader (OMR) tuta succeed kweli? au because primary ni ya kuchagua tu?
 
sula siyo usaishaji,ni mfumo wa mitihani yenyewe,na uchakachuaji uliokithiri,mtoto anafaulu kwa wastani wa B,halafu hata kuandika jina lake hawezi,can u imagine?
 
Inawezekana. Hivi zile laptop kwa kila mwanafunzi bado eeh? Tunanunua madawati kwanza?
 
Ndio elimu yetu aliyotuachia baba wa taifa tunaizika hivyo.
 
nadahni ni hatua nzuri ya maendeleo ya kielimu lakin swali la kujiuliza je hao watahiniwa wameandaliwa vya kutosha kula kijijin kwa bibi na kula huko mjini?isije watu wakafelishwa kutokana na maandalizi mabaya.
 
wale walalamishi watasema anayesimamia machine iyo anawapendelea watu fulani.
 
Back
Top Bottom