Mitihani ya darasa la saba isitumike kama kigezo cha kwenda sekondari?

Mitihani ya darasa la saba isitumike kama kigezo cha kwenda sekondari?

Ila wangejua kitimtim cha malezi.maadili na taaluma katika hizi kata schools..hizi haki za binadamu zingesubiri kwanza
 
Ukiona hivyo ujue masomo hayapandi. Sio kila mtu ni lazima asome darasani. Kasomee uchawi. tunguri. nk wacha elimu isonge mbele.
 
Iyo hoja ina mashiko if and only if elimu ya msingi ikiwa improved ili tuweze toa the right candidates ilakwa mfumo uliopo unaweza peleka vichaa sekondari.
Imagine mtu hajui kusoma na kuandika ivi SEC huyu anaenda fanya nini kama sio kwenda letea fujo wenzake tuu.
 
sina hakika kama waliotoa hayo maoni vichwa vinafanya kazi vizuri. labda wametumwa kuingamiza Tanzania. umaskini shida sana, yaani kila wanalojisikia kutuambia wanasema tu. na hao vibaraka wa kitanzania cjui wana ugonjwa gani! wanakubali tu kutumika.OOOH MY POOR COUNTRY TZ!. ni lini utasimama kwa miguu yako na kujiamulia mambo yako?
 
mpaka kati ya elimu ya msingi na sekondar utadhihirishwa na kitu gani, au yote ni elimu msingi iliyogawanyika katika matawi mawili? au aibu ya kupeleka wasiojua kusoma sekondar ndo inafichwa.
 
Hivi Fikiria Watoto Waliop Sec Asaiv Walchujwa Halaf Weng Wao Ni Mzgo,jenga Taswra Kam Watapitishw Free,kipi Kitatokea Km Sio Kuzalsha Maboga???Wallah Wakpitisha Sheria H Nd Nitajua Kweli Viongoz Ni Mabunyonyo,hata Km Haki Zpo,ila Co Kiivo,by H.J.Kingu
 
Back
Top Bottom