Mitihani ya Darasa la Saba maswali ni ya kuchagua

Kila idara imeoza nchi hii tunatakiwa kuanza upya nakuja na sera mpya kabisa zinazotekelezeka kwa sasa sera za nchi zipo kwenye makaratasi tu wanaosimamia sera hizo hawajui cha kufanya

Nchi hii watu wanaangalia vitu tangible matokeo yake tunakuwa na jamii ambayo haiangalii chanzo cha haya yote nini, tunataka kusikia wanafunzi 98% wamefaulu, madarasa 800 kati ya 900 yamejengwa, kilometa 80,000 za lami zimejengwa ila kama mtu akija na ajenda ya kurekebisha sijui sera mbalimbali ambazo zitamkomboa mtanzania anaonekana kituko wakati huyo ndio wa kumpa support, ila akija mtu akasema atajenga hiki na hiki yaani kila mtu atamuona ndio anafaa (sasa sijui utajengaje vitu bila kuwa na sera madhubuti)
 
mi naona maswali ya kuchagua sio tatizo ,tatizo linakuja maswali yanakiwa rahisi saana kufanya ,kama yako standard maswali ya kuchagua huwezi kufaulu kama hauko fiti,lakini hali inavyoonyesha huo mthani ni below standard,na hii ni trends kuanzia mitihani ya form 4, form 6, mapaka mtihani ya professional kama cpa, sijui papers za chuo zikoje, unakuta mtu amefaulu saana lakini kiazi kweli, mi naonea huruma hizi papers za professionals hasa za mwezi may
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…