Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kila idara imeoza nchi hii tunatakiwa kuanza upya nakuja na sera mpya kabisa zinazotekelezeka kwa sasa sera za nchi zipo kwenye makaratasi tu wanaosimamia sera hizo hawajui cha kufanya
Nchi hii watu wanaangalia vitu tangible matokeo yake tunakuwa na jamii ambayo haiangalii chanzo cha haya yote nini, tunataka kusikia wanafunzi 98% wamefaulu, madarasa 800 kati ya 900 yamejengwa, kilometa 80,000 za lami zimejengwa ila kama mtu akija na ajenda ya kurekebisha sijui sera mbalimbali ambazo zitamkomboa mtanzania anaonekana kituko wakati huyo ndio wa kumpa support, ila akija mtu akasema atajenga hiki na hiki yaani kila mtu atamuona ndio anafaa (sasa sijui utajengaje vitu bila kuwa na sera madhubuti)