Mitihani ya divisheni five

thanx brother, real nimekubali ushauri wako nita respond muda si mrefu broher! le t us keep in touch
 
thanx brother, real nimekubali ushauri wako nita respond muda si mrefu broher! le t us keep in touch

poa brother.. as best friends! tafuta profile ya invisible.. mtumie pm akubadilishie id utakayotaka.. atlisti isiwe na maana tata..! but check it first ili kujua kama kuna user anayo ama la!

happy new year!

karibu tule bana, ndo napata msosi nielekee machungani!

umetisha mkuu
 
huo ni ugali wa mtama mwekundu, nimeula sana usukumani huwa wanapika na mlenda pori pembeni unapata mtindi! tofauti ya huo ugali na wa usukumani ni kwamba, wasukuma wakishausonga hauwekwi kwenye sinia au sahani kama hapo unavyokula kimjini! wasukuma wanasonga harafu unaanchwa kwenye sufuria( lyamwidebe) inasogezwa mbona watu wanaendelea, karibu siku moja uandaliwe mkuu
 
Excell
discussion tunaanza saa ngapi? swali la sita limenishinda kujibu...............

6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate Mwegelo. Na je kwa nini hawakudumu
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa!! mkuu umenikumbusha mbali!

tarime ni sehemu ya nyumbani pia!!

nimeishi mgodini pale for some time!

inapendeza kwa kweli, waswahili wanasema mtu kwao...........
vp swali la sita?wew umerijibu? Prof.Himidini amesema tukusanye kesho jumatatu
 
Excell
discussion tunaanza saa ngapi? swali la sita limenishinda kujibu...............

6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate Mwegelo. Na je kwa nini hawakudumu

mkuu ngoja nitoke machungani bana!!

niko mlima kegonga nachunga ming'ombe bana!!

nahisi huu mwaka lazima nirudie darasa!!... sina source of materials wala material zenyewe!

hebu cheki huu mzigo mwanangu!!

kiongozi hii kitu ni tamu asikwambie mtu! tumekuwa tukijidanganya na sembe, tunaacha ugali wa mtama kama huu, apo sasa huwa tunajidanganya unga wa mtama, ulezi na muhogo ukasongwa! its very nice mkuu,
 
mkuu ngoja nitoke machungani bana!!

niko mlima kegonga nachunga ming'ombe bana!!

nahisi huu mwaka lazima nirudie darasa!!... sina source of materials wala material zenyewe!

hebu cheki huu mzigo mwanangu!!

usisahau kubeba miwa mkuu
 
usisahau kubeba miwa mkuu

hahhaaa!! dont worry..! nna maziwa fresh kidum kizima, mihogo sufuria mbili, viazi vitamu nusu ndoo vilivyochemshwa na maji ya kunywa lita tano!!

huku hatuli chipsi bana...!! mambo ya kuishiwa nguvu za kiume za kuchungia, si' hakuna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…