Mitihani ya form kuhahilishwa kusahihishwa upya

Hapana,alijichanganya kidogo,na ukiwa kama mwanaume shupavu,hata siku moja usikiri udhaifu,ndiyo kanuni(no 67)aliyoitumia..Ofcoz umeongea ukweli,na umeonesha jnc alivyochanganya mpya na zamani.

Sawa sawa nimekuelewa,nimeipenda hyo kanuni no 67 ila naomba unisaidie hyo kanuni ni kutoka wap?
 

Naona woote hamueliwi ni kweli mitihni haisahihishwi upya na wala hayapangwi upya kwa gredi mpya bali wana ongezewa maksi buuuure kwa sababu hakuna gredi mpya zilizotumika ndugu zangu,matatizo ya mass failure ni zaidi ya tunvyofikiri,baraza na Dkt Ndalichako siyo mwanasiasa ni proffesional hizo zinazo semwa gredi mpya zimepikwa kwa sababu za kisiasa
 

huo ndio ukwel halisi hizo grade mpya walizitoa wapi?
 
Kuanzia kichwa cha mada mpaka maelezo yako inaonesha na wewe ni wale wale asilimia 60. Anyway hongera kwa kuchora Zombi.
 
Tatizo 2nataka matokeo ye2 duh gumzo elimu walekebishe mambo meng wakitaka elimu iwe nzur wawalee vizur watoto wa chekechea waanzishe generation mpya elimu tz itakuwa nzuri
 
Dah ee bwana wadau mim katika hii account cna rafki hata mmoja yan, nahitaj marafik kwa kweli coz kuna msemo unasema ''Make as many frieds as you can because your success is not what you have but who you are.''
 
assume huu ni mchezo wa mpira na wachezaji ni wanafunzi wa kidato cha nne....kuwaongezea maksi ni sawasawa na kupanua goli...je nani atashindwa kufunga,lakini atayefunga ni kweli anastahili kuitwa mchezaji bora?...kha!shikamoo SERIKALI na Wanasiasa wote wajf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…