Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

Mitihani ya kidato cha sita 2023 ilikuwa below standard

Hao wataalamu wa zamani waliofaulu kwa haki wamefanya nini cha maana hadi sasa hivi ?
Wakati hawawezi kufanya chochote zaidi ya kuongea kwenye makongamano.
Nchi inabinafsisha kila kitu kwa wageni kwa ubadhirifu na kushindwa kuendeshwa na hizo PHD uchwala.

Kama sio Uroho wa madaraka hata IKULU inatakiwa kubinafsishwa pia kwa wasio Watanzania ili Wasimamie utawala bora.

Eti modern science and technology.
Kuna technology gani imegunduliwa na kutekelezwa na hao Wasomi Watanzania?
WASOMI WAPO WENGI TU, WAZURI, SYSTEM INAWAFANYA WAWE "WAHUNI" KAMA WATAWALA WALIVYO WAHUNI! IKIFIKA KWENYE SURVIVAL FOR THE FITTEST, THEN KILA MMOJA ANATFUTA NJIA YA KU SURVIVE! MBONA MAWAKLI WA KUJITEGEMEA WANAFAYA VIZURI KWENYE UWAKILI WAO?
 
1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo:

Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4, leo ghafla ina div 1 and 2.

2. Shule ambazo zimejiwekea rekodi ya kudumu ya kufeli, leo zinaongoza kwa ufaulu

3. Ufaulu ni mkubwa mno ie almost shule zote zina div 1 nyingi tu ambazo hatujawahi kuzishuhudia miaka mingi nyuma.

If not div 1 basi ni div 2.

Note: Sidhani kama ulivuja maana hauwezi vuja nchi nzima , maana ufaulu ni wa nchi nzima

Mfano angalia mtihani kama huu wa biology 2022, Siyo standard ya A level
Ngoja tuone...
 
Tusiwatungie mitihani migumu ya kuwakomoa ili tuonekane sisi tu ndiyo tunajua.Ni taifa hili letu sote.Mtihani maana yake ni kujua Kama aliyefundishwa ameelewa.
 
1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo:

Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4, leo ghafla ina div 1 and 2.

2. Shule ambazo zimejiwekea rekodi ya kudumu ya kufeli, leo zinaongoza kwa ufaulu

3. Ufaulu ni mkubwa mno ie almost shule zote zina div 1 nyingi tu ambazo hatujawahi kuzishuhudia miaka mingi nyuma.

If not div 1 basi ni div 2.

Note: Sidhani kama ulivuja maana hauwezi vuja nchi nzima , maana ufaulu ni wa nchi nzima

Mfano angalia mtihani kama huu wa biology 2022, Siyo standard ya A level
Kwahiyo ulitaka itungwe mitihani migumu ili kupima uwezo wa Mwl kutunga mitihani ya kukamata wanafunzi
 
Eti swali[emoji1787]

"In what ways water is important to the plant!!?"

"What should mamalian placenta formed immediately after implantation"(Lina marks nyingi hili[emoji15][emoji1787])

"Oxygen taken through humna nose enter the lung and then transported to all part of the body. Describe three ways n which oxygen is transported in human body"(Lina marks nyingi hili) [emoji15]

Mtihani wa shule ya msingi huu.Sio form Six

Mtihani mrahisi sana hata Mimi wa niliyesoma HGE naufanya na sikosi B au A kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Enzi zetu div 3 unaingia kupiga degree sasa hivi ukiwa na div 2 una hati hati ya kukosa. Wamefaulu mno.
Naomba kuuliza..! Hivi Aliyesoma masomo ya Science Advance akapata Division Three anaweza kwenda kusoma Ualimu ngazi ya Bachelor kwa Masomo ya Science....?
 
Hao wataalamu wa zamani waliofaulu kwa haki wamefanya nini cha maana hadi sasa hivi ?
Wakati hawawezi kufanya chochote zaidi ya kuongea kwenye makongamano.
Nchi inabinafsisha kila kitu kwa wageni kwa ubadhirifu na kushindwa kuendeshwa na hizo PHD uchwala.

Kama sio Uroho wa madaraka hata IKULU inatakiwa kubinafsishwa pia kwa wasio Watanzania ili Wasimamie utawala bora.

Eti modern science and technology.
Kuna technology gani imegunduliwa na kutekelezwa na hao Wasomi Watanzania?
Jamaa ana roho mbaya na chuki, hawa ndiyo wale wanaoamini ufaulu wa darasani lazima uwe na maisha mazuri mtaani!!!!!!!!! Au ufaulu wa darasani lazima uendane na uongozi mzuri!!!!!!!!!!

Kauli zao sasa:
Mimi nilipata divisheni one ,jamaa kilaza yule, haiwezekani yule afaulu, hawezi kuongoza yule, hawezi kuwa na hela yule!!!!

Ukweli mchungu: Hatuna wasomi ila tuna vipaji vya kukariri, mtaa hautaki kukariri!!!!!!!!!!!!!!!
 
Waacheni watoto wafaulu wakatafute Fulsa duniani.
Mambo ya kufelishana yamepitwa na wakati.
Nakumbuka mwaka flani kidato cha sita kalibu asilimia 70 waliferi somo la history kwa kupata F.
Hayo mambo hayana faida kwa dunia ya sasa.

Nchi za jirani zinafaulisha sana watoto wao na zinaonekana ni za wasomi wengi wakati elimu yao ni ya kueleweka na kufaulu.

Kwani nyie mliopata AAAAAAA hapo zamani Mnalisaidia nini Taifa kwa sasa wakati hata teethpeaks tunaziagiza China.

Mmeua mashirika yote ya Umma hadi leo mnaambiwa mmeshindwa kuendesha miradi yote na mnategemea kuendeshewa na majirani zenu wa hapo jirani Kenya na Rwanda.
Hii ni Fedheha kubwa sana.

Wache watoto wafaulu wajiunge japo na masomo ya VETA waje watujengee nyuma za kulala.

Napenda kulishukuru BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA. (NECTA) kwa haya mafanikio makubwa ya kuacha ukiritimba wa kufelisha watoto tunao walipia ada kwa shida na taabu tele.
 
Back
Top Bottom