Si kweli posho zipo pale pale isipokuwa wamepunguza gharama za kulisha watu mwezi mzmaWalimu watapinga,posho za usahihishaji huwasaidia sana,itakuaje sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli posho zipo pale pale isipokuwa wamepunguza gharama za kulisha watu mwezi mzmaWalimu watapinga,posho za usahihishaji huwasaidia sana,itakuaje sasa.
Kumbe na yuvisisiem mnaisoma nambaNaunga mkono hoja, Nina miaka zaidi ya 15 kwenye ualimu lakini sijawahi kwenda marking, bila mchongo huendi, Kuna mwalimu kaajiliwa nyuma yangu yeye keshaenda Mara tatu.
Hapa kituoni kwangu Kuna walimu wawili tu ,huwa wanaenda, Sasa unabaki kujiuliza Hawa walimu walisoma vyuo gani ambavyo viliwafanya wawe mahili katika kufanya marking ya mitihani!!?
Bora kukosa wote, kuliko keki ya taifa kuliwa kimchongo[emoji849][emoji849]
Unaunga mkono kwa maslahi mapana ya kitaifa au kwa uchawi na wivu?Naunga mkono hoja, Nina miaka zaidi ya 15 kwenye ualimu lakini sijawahi kwenda marking, bila mchongo huendi, Kuna mwalimu kaajiliwa nyuma yangu yeye keshaenda Mara tatu.
Hapa kituoni kwangu Kuna walimu wawili tu ,huwa wanaenda, Sasa unabaki kujiuliza Hawa walimu walisoma vyuo gani ambavyo viliwafanya wawe mahili katika kufanya marking ya mitihani!!?
Bora kukosa wote, kuliko keki ya taifa kuliwa kimchongo[emoji849][emoji849]
Unadhani Tz ndio ya kwanza ?? Kwingine kote wao wanafanyaje? , kujieleza sio lazima iwe tu kwenye mtihani wa mwisho, miaka 7 au 4 au 6 mtoto anajieleza tu isipokuwa mtihani mmoja wa mwisho unadhani hiyo itapunguza ufahamu wake??Naona hapo wanafunzi wanalazimishwa kukariri kwa namna fulani, lazima kwenye majibunya mitihani yao wahakikishe wanaandika exactly jibu lile walilofundishwa na mwalimu darasani.
Naamini hata wakiandika jibu walilosoma kwenye kitabu, kama vitabu viko tofauti, wakija na majibu tofauti kwenye swali lile lile wamefeli, atakaekuwa na jibu sahihi ni yupi hapa?
Masomo ya kujieleza sio kama hesabu, mwalimu ndie anatakiwa aangalie uelewa wa mwanafunzi wake kwenye swali husika kupitia majibu yake, aone namna mwanafunzi wake alivyojibu, sio hesabu kila siku inajulikana 1 + 1=2 duniani kote.