Mitihani ya kitaifa ya Ualimu kusahihishwa kidigitali

Ushauri;
ni vyema Barza likajipanga vyema ktk matumizi ya teknolojia hii, kazi ya teknolojia ni kurahisisha mambo sio kusababisha migogoro.

hatutegemei matatizo Yazidi bali tunategemea matatizo yatapungua.

Jipangane, tumieni watu wenye ujuzi na weledi lkn pia chukueni tahadhari zote dhidi ya wadukuzi/hackers

Pongezi kwa Baraza kwa hatua hii ambayo inaendana na wakati tulio nao hivi sasa.
 
Kumbe na yuvisisiem mnaisoma namba
 
Unaunga mkono kwa maslahi mapana ya kitaifa au kwa uchawi na wivu?
 
Unadhani Tz ndio ya kwanza ?? Kwingine kote wao wanafanyaje? , kujieleza sio lazima iwe tu kwenye mtihani wa mwisho, miaka 7 au 4 au 6 mtoto anajieleza tu isipokuwa mtihani mmoja wa mwisho unadhani hiyo itapunguza ufahamu wake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…