Mitihani ya Mock(ACSEE).

Mitihani ya Mock(ACSEE).

Joined
May 29, 2021
Posts
79
Reaction score
133
Kwa wale waliohitimu na waliopo masomoni(ACSEE) . Nahitaji
*experience s za waliofanya  mock (advance) kwenye exam room kanda zote mfano EZEB ..n.k
*Na hivi ni kweli inakua ni migumu(Mkoa wa Dar es Salaam)🤔

Wako mpendwa MSONGOKAJI💪🏼
 
Back
Top Bottom