Mitihani ya Mock isitungwe kiholela wakati syllabus haijaisha

Tunarudi kulekule. Utandawazi uko kote na ulianzia huko Ulaya ambako hawafanyi kama hawa walimu wazembe.

Hata ratiba zako ulizobandika kwenye notice board hazionyesji unachosema zinaonyesha kuwa watoto wana activities nyingine wanalala saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi masomk yanaanza saa 0750.

Hii maana yake walimu kama wewe ni wezi wa ratiba maana mnachofundisha saa 11 hakimo kwenye ratiba.

Kwa mwandiko wako inajidhihirisha wewe ni mwalimu wa kata, mvivu, mlalamishi halafu mlevi. Mwezi wa tano ujamaliza syllabus are you serious? Toa povu lakini hufai kuwa mwalimu. Kiufupi tu huna wito🏃🏃🏃
 
Jibu hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…