Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
na huo wa pili siwapatii picha wadogo zangu...mtafeliiiii mpaka mumjue ni nani!!!
Lazima waipate habari ya Nairobi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na huo wa pili siwapatii picha wadogo zangu...mtafeliiiii mpaka mumjue ni nani!!!
waambie wadada wenu waache kumsarandia mumewe!!
wAKUU heshima kwenu....
JUzi ilifanyika mitihani ya kwa wanafunzi wa mwaka 5 udaktari, baada ya kusahihishwa wanafunzi wote walioonekana kufaulu tena kwa wastani mkubwa, jambo ambalo lilimfanya mkuu wa isara husika professa lutale kuuufuta na kuamua kutunga mtihani mwingine kwani kwa madai yake anasema haiwezekani wanafunzi wote wafaulu kwani idara yake ndio inaongoza kwa kufelisha wanafunzi na discontinuation kila mwaka,,, huyu mama(prof. lutale, mhaya) imekuwa ni kawaida kwake kuona wanafunzi wakifeli na kurudi kufanya sup au kupata disco kila mwaka,,, wanaharakati tusaidieni wanafunzi wa mhimbili,,, hawa walimu wetu wamejigeuza miungu.
kwa hali ya kawaida watu/wanafunzi wote hawawezi kuwa na uelewa sawa. unakumbuka- normal distribution, bell curve, -ve au +ve skew?hivi lengo la mtihani uwa ni watu wa fail au ni kupima kiwango cha uelewa wa mwanafunzi?
Kama lengo ni kufail hapo sawa
Mbona hueleweki? Kabila la prof linahusika vp? Wanaharakati wakusaidie kufanya mtihani? Ni dhahiri wewe hapo chuo ulienda kwa kili za wengine, so hustahili kuwa docta.wAKUU heshima kwenu....
JUzi ilifanyika mitihani ya kwa wanafunzi wa mwaka 5 udaktari, baada ya kusahihishwa wanafunzi wote walioonekana kufaulu tena kwa wastani mkubwa, jambo ambalo lilimfanya mkuu wa isara husika professa lutale kuuufuta na kuamua kutunga mtihani mwingine kwani kwa madai yake anasema haiwezekani wanafunzi wote wafaulu kwani idara yake ndio inaongoza kwa kufelisha wanafunzi na discontinuation kila mwaka,,, huyu mama(prof. lutale, mhaya) imekuwa ni kawaida kwake kuona wanafunzi wakifeli na kurudi kufanya sup au kupata disco kila mwaka,,, wanaharakati tusaidieni wanafunzi wa mhimbili,,, hawa walimu wetu wamejigeuza miungu.
wAKUU heshima kwenu....
JUzi ilifanyika mitihani ya kwa wanafunzi wa mwaka 5 udaktari, baada ya kusahihishwa wanafunzi wote walioonekana kufaulu tena kwa wastani mkubwa, jambo ambalo lilimfanya mkuu wa isara husika professa lutale kuuufuta na kuamua kutunga mtihani mwingine kwani kwa madai yake anasema haiwezekani wanafunzi wote wafaulu kwani idara yake ndio inaongoza kwa kufelisha wanafunzi na discontinuation kila mwaka,,, huyu mama(prof. lutale, mhaya) imekuwa ni kawaida kwake kuona wanafunzi wakifeli na kurudi kufanya sup au kupata disco kila mwaka,,, wanaharakati tusaidieni wanafunzi wa mhimbili,,, hawa walimu wetu wamejigeuza miungu.
KWA KWELI TZ TUNACHEKESHA SANA...TUNAFURAHIA WANAFUNZI KUFELI MITIHANI. KAMA KWELI WANAFUNZI WANAFUNDISHWA VIZURI NA MALECTURE NA WAPO KARIBU NA WANAFUNZI WAO HAKUNA HAJA YA WANAFUNZI KUIBA PEPA KWANI WATAFAULU VIZURI SANA.
NILIPATA KUSOMA HAPA TZ NA NIKASOMA UCHINA CHUO CHA BEIJING INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY KWA KWELI TUKO TOFAUTI SANA KIMTAZAMO KUHUSU SUALA HILI LA KUFAULU/KUFELI. KULE MALECTURE WAKO KARIBU SANA NA WANAFUNZI NA WANAHAKIKISHA WANAFUNZI WANAFAULU VIZURI SANA NA WOTE.
WALE WENYE SIFA ZA UZEMBE NA WASIOPENDA MAENDELEO YA WANAFUNZI HUPEWA ONYO KALI SANA NA UCHINA IMEPIGA HATUA KUBWA SANA KIELIMU ZAIDI YETU TULIO WANAFIKI WA KIELIMU. ONA LECTURE ANAPANGA IDADI YA WATAKAOPATA A or B+ or B or C or D NA WANAOFELI.