Na hasa ukizingatia kuwa anajaribiwa ktk masomo ambayo ameshafundishwa yaani kwa kuzingatia syllabus,sijui anataka iweje au wasijaribiwe kabla mitihani ya mwisho?Kama ni mitihani inayoandaliwa kupima wanafunzi inauaje elimu?
Ebu jazia nyama kidogo mwanafunzi akipewa mtihani inaathili vipi uwezo wake kitaaluma?