Mitihani ya sets inaharibu elimu nchini

Kama ni mitihani inayoandaliwa kupima wanafunzi inauaje elimu?
Ebu jazia nyama kidogo mwanafunzi akipewa mtihani inaathili vipi uwezo wake kitaaluma?
Na hasa ukizingatia kuwa anajaribiwa ktk masomo ambayo ameshafundishwa yaani kwa kuzingatia syllabus,sijui anataka iweje au wasijaribiwe kabla mitihani ya mwisho?
 
Umendika huku unatetemeka kwa jazba na hofu, tulia kunywa maji, halafu fafanua hoja zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…