Mitindo mbalimbali ya vitenge

Lol ht cjui imekuwaje nimeingia huku leo !!!naona Mungu alikuwa na mpango na mimi maana nilivyokuwa nahangaika nishonaje vitenge vyangu,
Ss upele umempata mkunaji
Ushukuriwe mtoa mada
 

mi nna aleji na wembamba tupia mabonge kama huyu nivurugike vizuri

 
sana tatizo ni kupata fundi wa kushona kama hiyo,

mie nishagombana na fundi wangu mpaka kesho simlipi!!! yan hamna rangi sijaona...ila akikutolea kitu..........utafikiri redimedi!
 
Shukrani zimuendee mtoa mada popote pale alipo... ngoja niutunze huu uzi fo fyucha yuzi
 
Mishono ya kitenge
 

Attachments

  • 08189392e42253a781f309223f2b239f.jpg
    38.5 KB · Views: 914
  • 1_502839083123000_1657548294_n.png
    50.5 KB · Views: 979
  • vitenge.jpg
    24.2 KB · Views: 1,352
  • plus-size-ankara.jpg
    20 KB · Views: 970
habari za leo wanajamvi .nahitaji mishono mbalimbali ya nguo ya kitenge ..naomba mwenye style yoyote ya mshono wa kitenge atupie picha tafadhali.
 
habari za leo wanajamvi .nahitaji mishono mbalimbali ya nguo ya kitenge ..naomba mwenye style yoyote ya mshono wa kitenge atupie picha tafadhali.
Mtafute mama mwenye namba hii 0767504971 hakika utapenda ana office hapo urafiki Dar. Amejikita ktk mitindo mbalimbali, maharusi, send off na kitchen party.
 
Mnh! Nguo ya kitenge ofisini? Mie ni mpinzani mkuu! Kitenge ni kanisani na kwenye shughuli nyingine zisizohusiana na ofisi. Btw, nguo ya bendera kama hiyo unaivaae ofisini? Ha ha ha haaaaaa!
Vibaya hivyo mkuu.Hata hii huwezi kuivaa?????
 

Attachments

  • CgRw.jpg
    105 KB · Views: 647
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…