Mitindo mbalimbali ya vitenge

Watu wazima mnatata mrudi utoto, dah nyie ndo wale waliokosa busara enzi zile pou. mara skin taity m-bibi mkubwa
eh mungu wasamehe maana hawajui walitendalo
 
Mtu akikwambia hawezi kuvaa nguo ya kitenge ofisini maana yake either hapendi vitenge, au hana tailor mzuri. Mimi navaa from time to time. Inategemea pia upo wapi, maana sehem zingine vitenge ni nguo adimu sana kiasi kwamba ukivaa wanadhani unaenda in a cultural event tuu.





 
Hii mada imenichekesha lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nionavyo mimi inategema hicho kitenge umekishonaje kiofisi, kikanisa, kimsikiti, au kipati na je unayekivaa ukoje kwanza mwonekano wako usije vaa kama uko home wasonga ugali eti waenda nacho ofisini si ushamba jaamani huo

unaweza kushona kiiofisi na ukakivaa, wengine watapenda kwani huo ndo utamaduni wetu na ni vyema kupenda utamaduni wa kwenu haya mambo ya kuvaa bikini kazini ni ushamba tu
 
inategemea ofisi gani au unafanya kazi gani. kazi za ualimu bila vitenge viwili vitatu mambo hayaendi so unapiga "vipencil" siku tatu halafu una neutralize na kakitenge siku moja. la si hivyo unaambiwa hauna haiba ya kazi.
 
Dress code za maofisini zimekataa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…