Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani miaka 25 iliyopitaKuna kikoti alikivaa koffi kwenye ULTIMATUM kile cheusi ndio nawaona nacho wasaniii wanakivaaa leo
Yani Oldiz za koffi zote ndio latest za wasanii wa sasa hivi, you cant define olomide kwa sentensi 1 ni master eneo hilo.
Kuna jamaa yangu nae husema huwa hamuelewi 😂😂😂
😂😂😂😂😂Ana mitindo ya kipekee.. akiangusha begi lake la nguo huwezi okota hata moja😂😂
Jichekee tu😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahaaaa! sasa hapa kazidi duuu!! tatizo la koffi Ni Mbabe! hakawii kuzirusha zingumi! ukimzingua anakuzengua faster!