Yani miaka 25 iliyopitaKuna kikoti alikivaa koffi kwenye ULTIMATUM kile cheusi ndio nawaona nacho wasaniii wanakivaaa leo
Yani Oldiz za koffi zote ndio latest za wasanii wa sasa hivi, you cant define olomide kwa sentensi 1 ni master eneo hilo.
Kuna jamaa yangu nae husema huwa hamuelewi πππ
πππππAna mitindo ya kipekee.. akiangusha begi lake la nguo huwezi okota hata mojaππ
Jichekee tuππππππππ
hahahaaaa! sasa hapa kazidi duuu!! tatizo la koffi Ni Mbabe! hakawii kuzirusha zingumi! ukimzingua anakuzengua faster!