Mito yote inayokwenda kumwaga Ziwa Victoria tumeshindwa kuwa na vyanzo vya umeme vidogo?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kiukweli bora kuishi ughaibuni tu yani hapa JF naonekana nikiwasimulia watu waliopo zama za mawe wengi.

Yani ukizunguka kanda ya ziwa kuna mito na vijimito visivo kauka kupeleka maji ziwani lakini hata wazo la kuwanzisha umeme angalau wa wilaya au kuongeza megawatt hakuna.

Naumia sana kuona maji ya mito yakienda tu ziwani.
 
Wanasema eti ni mali ya wamisiri
 
Angalia viongozi ulionao mtaani kwako utapata taswira ya viongozi tulionao kitaifa.

Maeneo machafu, rushwa, kujuana, kesi za majungu ndizo wanashughulikia. Ni kazi kama kazi zingine
 
Kipindi Hayati Mkapa Anatawala
HakiElimu Walikuwa Wanaikosoa Sana Serikali Kwa Uzuri Wakionyesha Tatizo Na Namna Ya Kupata Ufumbuzi Wa Hilo Tatizo



Wakaja Na Kauli Mbiu Hai Mpaka Kesho Inaishi Tu Kuhusu Elimu
"Elimu Siyo Cheti, Ni Ujuzi "





Unaweza Ukawa Huna Cheti Lazima Una Ujuzi
Unaweza Kuwa Na Cheti Kizuri Umesoma Mengi Makubwa Ila Hujui Chochote
 
Father Theo!!!
Yap,ndo huyo huyo mzee,ingawaje anaitwa brother Theo

Huo umeme wake ulikuwa unatumiwa na vyuo viwili, hospital na wanakijiji kabla ya kuja huu umeme wa tanesco

Pia maji nayo alitegesha huwa yanakuja kijijin bila kutumia hata umeme
 
Yap,ndo huyo huyo mzee,ingawaje anaitwa brother Theo

Huo umeme wake ulikuwa unatumiwa na vyuo viwili, hospital na wanakijiji kabla ya kuja huu umeme wa tanesco

Pia maji nayo alitegesha huwa yanakuja kijijin bila kutumia hata umeme
Hospital Ya Kambaga Na Chuo Chake Pia Wanakijiji
Kabla Ya Serikali Kupeleka Umeme Wa Jenereta Kasulu, Kambaga Wao Walikuwa Wanautumia Huo Umeme Zamani Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…