Mito yote inayokwenda kumwaga Ziwa Victoria tumeshindwa kuwa na vyanzo vya umeme vidogo?

Mito yote inayokwenda kumwaga Ziwa Victoria tumeshindwa kuwa na vyanzo vya umeme vidogo?

Kiukweli bora kuishi ughaibuni tu yani hapa JF naonekana nikiwasimulia watu waliopo zama za mawe wengi.

Yani ukizunguka kanda ya ziwa kuna mito na vijimito visivo kauka kupeleka maji ziwani lakini hata wazo la kuwanzisha umeme angalau wa wilaya au kuongeza megawatt hakuna.

Naumia sana kuona maji ya mito yakienda tu ziwani.
Hongera kwa kuona fursa, vp kitu gani kinakushinda we kufanya unachokiwaza ?

Afu kwann wa ughaibun mnaona kama sisi tunateseka sana, endeleen na neema zenu wakuu !!!
 
muulize makonda
Niliambiwa na mtu mmoja sijui kama alikuwa sahihi ila nahis alikuwa sahihi, waafrika wenzetu wakiwa nje wanatudharau sisi tuliobaki nchi ya maziwa na asali.

Kila kitu ni fursa ni vile nyie badala ya kutusaidia ni mnatudhalilisha, hela mnazopata zileteni muwekeze tupate ajira.
 
msafiri kafiri. unajua maana ilo neno .nenda kajifunze dubai nauli sio bei ukirudi utajiona umelala
 
we ni mbishi sana jeografia umesoma ya mtaa gani. kwani mto unapanda mlima.
kazi ya mto ni kupeleka maji sehemu usika .ushawai kusikia yamerudi nyuma
Ni sawa ukajenge bwawa la umeme kwenye mto Ruvu Bagamoyo au Mto Pangani kule wilayani pangani. Utaishia kuleta tu mafuriko. Umeme wa maji unajengwa huko milimani kwenye maporomoko, rapids au makorongo marefu.
 
Yap,ndo huyo huyo mzee,ingawaje anaitwa brother Theo

Huo umeme wake ulikuwa unatumiwa na vyuo viwili, hospital na wanakijiji kabla ya kuja huu umeme wa tanesco

Pia maji nayo alitegesha huwa yanakuja kijijin bila kutumia hata umeme
Hata ukienda pale Ndanda,Mtwara Wazungu wanazalisha umeme wao na maji wametegesha yantoka tu hayaahitaji wala umeme.!
 
Maji yanajaa Mto Wami na Ruvu achilia mbali pana mto Kilombero ila daslm tu hapo watu wanatafuta maji kwa madumu ishu ya umeme mbona kubwa sana kwao wao wanaamini katika mitambo ya kununua kwa upigaji ili tatizo liendelee kuwepo..
 
msafiri kafiri. unajua maana ilo neno .nenda kajifunze dubai nauli sio bei ukirudi utajiona umelala
Bro shida sio kujifunza na sio mpk kusafir kujua baadhi ya matatzo yaliyopo hapa. Ww ushajua nimekuuliza umefanya nin after kujua hilo tatzo kwa sababu kila tatzo ni fursa ya biashara katika utatuz wake.

Au nia yako tuone umetembea dubai ukaona matatzo tuliyo nayo ?

kwa serikali hipi na chama kipi kilichopo madaraki.mbona tuna ulizana kama tupo TFF
 
kwa serikali hipi na chama kipi kilichopo madaraki.mbona tuna ulizana kama tupo TFF
Maisha sio mepesi lakin kama umepata nafasi ya kuona tatzo, ina maana ukituliza akil suruhisho pia utaona.

Suruhisho ni nin kwa mtazamo wako mana lawama hazisaidii.
 
UNAJUA HAPA TUNA MATOMASO MPAKA WAPATE PICHA
Sargsyans-plant.jpg
b25lY21zOmExM2JkYzhiLTk4MTktNGNlNS1hMzk3LTljZWQ0YWI3ZDM1Yjo1NmFmODc5OC02ZjNiLTRmMTItOGViMi01NT...jpg
emgry-installed-module-845x684.jpg
 
Kuna watanzania wanajitahidi kwenye kuzalisha umeme

Hebu pekua youtube hii habari

MTANZANIA ALIEBUNI UMEME WAKE
 
Hiyo mito ina maporomoko yakutosha kwa ajili ya kuzungusha tubines za kuzalisha umeme?
 
NI MEPESI SANA FATILIA MADA ZANGU UTANIELEWA
Nitafatilia mkuu ila jaribu kutoa soln pia, nipo mbali na tz na naona fursa ni vile bado hakujawa na hela ya kutosha kuiwekeza ila tz kuna hela kama wakiacha uzwazwa.

Mwisho hongera kwa kutembea ni kujifunza kwa gharama
 
ZIPO NYINGI KAMA HIYO KANDA YA ZIWA ZAO LA SUKARI NA KUZALISHA SABABU UNAWEZA KUVUTA MAJI KWA UMWAGILIZIAJI NA MIWA AINA SIJUI MASIKA WALA KIANGAZI
 
Back
Top Bottom