Shida wabongo tumekaririwe ni mbishi sana jeografia umesoma ya mtaa gani. kwani mto unapanda mlima.
kazi ya mto ni kupeleka maji sehemu usika .ushawai kusikia yamerudi nyuma
Hongera kwa kuona fursa, vp kitu gani kinakushinda we kufanya unachokiwaza ?Kiukweli bora kuishi ughaibuni tu yani hapa JF naonekana nikiwasimulia watu waliopo zama za mawe wengi.
Yani ukizunguka kanda ya ziwa kuna mito na vijimito visivo kauka kupeleka maji ziwani lakini hata wazo la kuwanzisha umeme angalau wa wilaya au kuongeza megawatt hakuna.
Naumia sana kuona maji ya mito yakienda tu ziwani.
muulize makondaHongera kwa kuona fursa, vp kitu gani kinakushinda we kufanya unachokiwaza ?
Afu kwann wa ughaibun mnaona kama sisi tunateseka sana, endeleen na neema zenu wakuu !!!
Niliambiwa na mtu mmoja sijui kama alikuwa sahihi ila nahis alikuwa sahihi, waafrika wenzetu wakiwa nje wanatudharau sisi tuliobaki nchi ya maziwa na asali.muulize makonda
msafiri kafiri. unajua maana ilo neno .nenda kajifunze dubai nauli sio bei ukirudi utajiona umelalaNiliambiwa na mtu mmoja sijui kama alikuwa sahihi ila nahis alikuwa sahihi, waafrika wenzetu wakiwa nje wanatudharau sisi tuliobaki nchi ya maziwa na asali.
Kila kitu ni fursa ni vile nyie badala ya kutusaidia ni mnatudhalilisha, hela mnazopata zileteni muwekeze tupate ajira.
Ni sawa ukajenge bwawa la umeme kwenye mto Ruvu Bagamoyo au Mto Pangani kule wilayani pangani. Utaishia kuleta tu mafuriko. Umeme wa maji unajengwa huko milimani kwenye maporomoko, rapids au makorongo marefu.we ni mbishi sana jeografia umesoma ya mtaa gani. kwani mto unapanda mlima.
kazi ya mto ni kupeleka maji sehemu usika .ushawai kusikia yamerudi nyuma
Hata ukienda pale Ndanda,Mtwara Wazungu wanazalisha umeme wao na maji wametegesha yantoka tu hayaahitaji wala umeme.!Yap,ndo huyo huyo mzee,ingawaje anaitwa brother Theo
Huo umeme wake ulikuwa unatumiwa na vyuo viwili, hospital na wanakijiji kabla ya kuja huu umeme wa tanesco
Pia maji nayo alitegesha huwa yanakuja kijijin bila kutumia hata umeme
Bro shida sio kujifunza na sio mpk kusafir kujua baadhi ya matatzo yaliyopo hapa. Ww ushajua nimekuuliza umefanya nin after kujua hilo tatzo kwa sababu kila tatzo ni fursa ya biashara katika utatuz wake.msafiri kafiri. unajua maana ilo neno .nenda kajifunze dubai nauli sio bei ukirudi utajiona umelala
msafiri kafiri. unajua maana ilo neno .nenda kajifunze dubai nauli sio bei ukirudi utajiona umelala
msafiri kafiri. unajua maana ilo neno .nenda kajifunze dubai nauli sio bei ukirudi utajiona umelala
kwa serikali hipi na chama kipi kilichopo madaraki.mbona tuna ulizana kama tupo TFFBro shida sio kujifunza na sio mpk kusafir kujua baadhi ya matatzo yaliyopo hapa. Ww ushajua nimekuuliza umefanya nin after kujua hilo tatzo kwa sababu kila tatzo ni fursa ya biashara katika utatuz wake.
Au nia yako tuone umetembea dubai ukaona matatzo tuliyo nayo ?
Maisha sio mepesi lakin kama umepata nafasi ya kuona tatzo, ina maana ukituliza akil suruhisho pia utaona.kwa serikali hipi na chama kipi kilichopo madaraki.mbona tuna ulizana kama tupo TFF
NI MEPESI SANA FATILIA MADA ZANGU UTANIELEWAMaisha sio mepesi lakin kama umepata nafasi ya kuona tatzo, ina maana ukituliza akil suruhisho pia utaona.
Suruhisho ni nin kwa mtazamo wako mana lawama hazisaidii.
LAKINI WASAULIFU KUHUSU ILO KUWA INAWEZEKANAKuna watanzania wanajitahidi kwenye kuzalisha umeme
View: https://youtu.be/GNJmt0Ur9-U?si=D8Cdp3-kWvE6jofA
Nitafatilia mkuu ila jaribu kutoa soln pia, nipo mbali na tz na naona fursa ni vile bado hakujawa na hela ya kutosha kuiwekeza ila tz kuna hela kama wakiacha uzwazwa.NI MEPESI SANA FATILIA MADA ZANGU UTANIELEWA
ZIPO NYINGI KAMA HIYO KANDA YA ZIWA ZAO LA SUKARI NA KUZALISHA SABABU UNAWEZA KUVUTA MAJI KWA UMWAGILIZIAJI NA MIWA AINA SIJUI MASIKA WALA KIANGAZINitafatilia mkuu ila jaribu kutoa soln pia, nipo mbali na tz na naona fursa ni vile bado hakujawa na hela ya kutosha kuiwekeza ila tz kuna hela kama wakiacha uzwazwa.
Mwisho hongera kwa kutembea ni kujifunza kwa gharama