D Deo bony Member Joined Mar 27, 2011 Posts 74 Reaction score 8 Sep 20, 2012 #1 MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE! mwizi akaduwaaa.
MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua na begi langu la shule NAPIGA KELELE! mwizi akaduwaaa.