CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022
Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya Nissan kuichomea Mitsubishi kuwa inadanganya juu ya ulaji wa mafuta ya magari yake kwa kupunguza 15% juu ya matumizi halisi ya mafuta ya magari ya Mitsubishi (overstated the fuel economy of some vehicles by more than 15 percent),