budebajr
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 380
- 226
Nunua Mitsubishi katika hali nzuri kabisa.
*Mitsubishi Pajero #station_wagon
*Ni ghari ngumu ya barabara ya kiafrika
*imelipiwa leseni pamoja na Insurance
*ina Engine ukubwa wa cc 1990
*Nyeupe bado ina hali nzuri ndani na nje.
Kwa mawasiliano: 0789136006