Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nimenunua Mitsubishi Pajero iO ina kama miezi kumi tu, lakini imeanza kusumbua hasa misi zimekua nyingi na wakati mwingine inanizimikia kwenye foleni hapa mjini.
Nimejaribu mara kadhaa kuipeleka gereji mafundi washanilamba mara kibao lakini tatizo lipo palepale, nimebadilisha kwa maelekezo ya mafundi hadi plug (ambazo zote nne ni kama laki moja) mara mbili lakini bado tatizo lipo palepale.
Nishaurini wazee tatizo ni nini nimechoka sasa
Peleka kwa good tech mimi ninae mmoja anaitwa Denis 0754594076 atafanyia computerised diagnosis na kuspot tatizo, then atafix pia unatakiwa kutumia genuine plugs za Mitsubishi au nyingine ambazo ziko na good quality, tumia unleaded fuel, ukiweka mafuta machafu kaka hii gari iko very sensitive, mimi ninayo for 3 yrs now iko kama mpya I maintain it very well.
Ukitumia Regular or Supper haijarishi umeinunua kutoka gas station gani mafuta yanatakiwa kuwa sawasawa. unataka kunambia unaposafiri kwenda mikoani itakuwaje ukienda sehemu ambako hakuna gas station uliyoizoea?Ni ukweli kabisa Mkulu,
Na hizi gari hazitaki kabisa kuchanganya mafuta,mara leo lita 5 BP kesho mbili GAPCO..,lazima utaiona sio nzuri.unatakiwa uwe na kawaida ya kuweka mafuta sehemu moja tena mengi yasiishe kabisa kwenye tank.
Na kuhusu Plug,ni kweli,yake mmoja ni alfu 25
Ni nzuri, inaondoa utupu wako.Elimu haina mwisho
kaka habari, ,pole sana,kaka nipigie 0755399613,tatizo lako litakwisha kabisaNi nzuri, inaondoa utupu wako.
kaka mbona tupo jamanihivi kwa nini mechanical engineers hamfungui garage mkatunusuria magari yetu? wengine hatuogopi gharama ili mradi tufanyiwe kazi iliyoenda shule.
Tatizo kubwa watu hawataki kama fundi anakueleza ukweli,na kuwapenda mafundi waongo ndio wanapendwa sanakaka mbona tupo jamani
Tatizo lanini?kaka habari, ,pole sana,kaka nipigie 0755399613,tatizo lako litakwisha kabisa
Weka nashine ya 3S Mi pia ninayo haina Shida kabisaaaJamani nimenunua Mitsubishi Pajero iO ina kama miezi kumi tu, lakini imeanza kusumbua hasa misi zimekua nyingi na wakati mwingine inanizimikia kwenye foleni hapa mjini.
Nimejaribu mara kadhaa kuipeleka gereji mafundi washanilamba mara kibao lakini tatizo lipo palepale, nimebadilisha kwa maelekezo ya mafundi hadi plug (ambazo zote nne ni kama laki moja) mara mbili lakini bado tatizo lipo palepale.
Nishaurini wazee tatizo ni nini nimechoka sasa
Hapo ninavyoona hapo angalia torque converter Kama IPO salama lakini hata clutch zake Kama ziko salama inawezekana converter Haina fluid imekauka au clutch zimeishaMImi nina kiminiPajero Mitsubishi, mwaka wa 6 sasa japo of late kime-develop tatizo la kuslip clutch. Gari hili ni automatic lakini ukiliwasha unasikia linapumulia/ngurumia kifuani/kwenye injini na linakuwa zito sana kutoka hadi utembeee kilomita kama 3 ndo unasikiaa linapick-up. Niliambiwa kuwa nisafishe gearbox na kuweka BP oil na mengine mengi nimefanya hadi nimechoka. Mambo mengine ni kizuri, nakitumiaga kwenda Arusha na kurudi same day without matatizo na kiko vizuri hapa Dar na mambo ya parking huangaki sana. Mwenye ushauri kuhusu hiyo gear box/kuslip kwa clutch naomba anijuze..au ambaye anajua fundi mzuri