Toyota does not break easily in tough conditions.
Hii ndio inapelekea gari zake kupendwa zaidi but drawback ni kuwa Toyotas are never fun cars to drive...they used to lack the fancy cosmetics that make driving more plasurable japo kwa sasa wameimprove as their trim of luxuries can somehow keep pace with other car brands such as the German autos. (BMW, AUDI, MERCEDES,VW n.k) hasa hasa Lexus brand.
Hao ma star wananunua gari kwa badge ama price tag ilio kubwa sokoni, they don't care about reliability issues and maintenance costs in the long run. They have way more cash to take care of that. Ila kwa mwananchi wa kawaida hata marekani ukifuatilia utaskia "i rather have a Lexus than a BMW." Why? "Because it spends more time on the road without issues"
Mjerumani ni trip moja shamba moja gereji na huna hakika kama itakupumzisha na zile taa za check engine. Mvua zimefululiza sana kaitie kwenye maji ya Jangwani BMW na IST kwa week tu halafu uone nani atahitaji diagnosis. Gharama itakuwa bei gani kubadili sensor zilizokufa kisha utaelewa kwa nini watu wanajazana kwenye Toyota.
Kitu nachoweza kushauri walau watu mnunue Luxury division ya Toyota (Lexus) you will atleast enjoy the same kind of excitement kama ya German autos japo itahitaji hela nyingi at first ila maintanance ni headache free. Hazisumbuagi.