Hahah mzee baba ukikaa kwny hio machine kujimwambafai lazima arifu.View attachment 1244425
Hebu cheki huyu mnyama mzee baba,,,thats LS350!!!
Very enough for me, ndani ni kama ndege mzee baba! Reliability sio ya kuuliza.
Mkuu hio ni chuma ya kazi,haina mjadala kabisaa porini/masafa ndio kazi yake chief.Vp kuhusu Land Cruiser 105 Series?!
Hahah mzee baba ukikaa kwny hio machine kujimwambafai lazima arifu.
Usitusahau kwny ufalme wako bablai.Lazima nivimbe bro.
🤣🤣🤣🤣🤣 wacha nikivuta kiinua mgongo labda.Usitusahau kwny ufalme wako bablai.
Uzuri nyie huko ni mabilionea spea haziwashindi hapo ni kama kununua hindi la kuchoma kwa poti