DOKEZO Mitumba inayopita Bandari ya Dar haina ubora, ni michafu, imechakaa, ni tofauti na ile inayopitia Nairobi, kuna kitu hakipo sawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukiwa Kilimanjaro Soko La Memorial
Mtumba Wake Unakuwa Mzuri Sana Tena Wa Kiwango Kizuri Sana Hata Viatu
Nilitaka kuongea jambo kama hili hata mashuka ya mitumba ya memorial ni mazuri sana

Viatu ndo usiseme ni mbingu na ardhi in short karume mitumba yake mibovu alafu bei ni kubwa maradufu
 
Mtumba mwingi sahv inatokea China huko
Wale waletaji enzi hizo wa grade mtumba kutoka ulaya,Canada,USA,Australia
Wale wahindi wa mnazi mmoja wakina shein na sapato walishahamia kenya na Uganda
Kwa sasa mtumba mwingi unaonekana huko unatoka China kdg na uturuki

Ova
Inaweza ikawa fursa au kuna mapapa watakupoteza?
 
Mi ni mfanyabiashara wa nguo za mtumba, mabelo tunayofungua kipindi hiki ni tofauti sana na miaka ya nyuma hasa kabla ya bandari kubinafsishwa, changamoto ni kuwa kipindi cha nyuma mizigo ilikuwa mizuri haina uchafu (lonya) pia bei zilikuwa zinabebeka.

Baada ya mchakato wa mabadiliko ya bandari sasa hivi mizigo ya mtumba asilimia kubwa inakuja michafu, nguo nyingi zimechakaa zinazofaa kutupwa na unakuta ni kwenye belo la Grade A.

Wafanyabiashara wa mtumba tunaomba serikali izuie uingizwaji wa nguo hizo nchini kwani unasababisha hasara kubwa kwetu wamachinga, leo hii ukitaka mzigo mzuri itabidi uagizie Nairobi inaonyesha kule wanaudhibiti wa nguo zinazotakiwa kuingizwa nchini kwao pia bei yao inabebeka.

Naomba kuwasilisha, wizara yenye dhamana ishughulikie swala hili kwa sasa ni kama halitiliwi maanani. Ahsante!

Kuhusu mabadiliko ya bandari niliyolenga: Nilikuwa namaanisha kipindi ambacho serikali iliingia mkataba wa uwekezaji na uendeshaji wa magati ya Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni ya DP World (mchakato ulioanza mwishoni mwa mwaka 2023 na kuanza kufanya kazi rasmi mnamo 2024). Tangu mabadiliko haya ya uendeshaji na mifumo ya kodi/ushuru ya maghala yafanyike, gharama za uingizwaji mizigo zimebadilika na kuathiri hadi soko letu la mtumba.

2. Kipindi tulipoanza kuona utofauti: Tumeanza kuona mabadiliko makubwa ya ubora kushuka na bei kupanda kuanzia mapema mwaka 2024, na hali imezidi kuwa ngumu zaidi kadri miezi inavyoenda mpaka sasa. Hapo ndipo ubora wa mabelo ulipoanza kuporomoka na nguo chakavu (lonya) kuwa nyingi kuliko nguo za maana.

3. Kuhusu bei za mabelo (Zamani vs Sasa): Ili kukupa picha halisi, mimi nachukulia mfano wa belo la suruali za official (ofisini):

Zamani (Kabla ya mabadiliko): Belo hili tulikuwa tunanunua hadi kwa Tsh 250,000/=, na lilikuwa linatoka nguo safi za daraja la kwanza (Grade A) ambazo mteja anachukua bila kusita.

Sasa hivi: Belo hilo hilo bei imepaa na kufika hadi Tsh 450,000/=. Cha kusikitisha, bei imepanda kwa kiasi kikubwa lakini ndani unakuta zimejaa nguo zilizochakaa, zilizochanika au madoa yasijotoka (lonya).

Hapo ndipo hasara kubwa inapotushika sisi wamachinga mtaji unakuwa mkubwa, lakini mzigo wa ndani hauna ubora wa kurudisha pesa yako. Ndio maana sasa hivi Nairobi wametuzidi; kule wana udhibiti mzuri wa ubora unaoifanya bei yao ibebeke kulingana na kile ulichonunua.

Jibu hili limekaa kitalamu na lina ukweli unaothibitika (Mkataba wa DP World 2023/2024 na hesabu za mabelo yako). Unaweza kulituma hivi hivi!

Ukiagiza kutoka kenya hadi kufika Dar es salaam bei inakua 320000 hadi laki 350,000.
Mkome kuagiza vitu china. Wewe uliona wapi bidhaa za kichina za maana.
Wachina na bidhaa zao ni vimeo +++
 
tafuta pa

paspot nenda Nairobi
lala namanga...tafuta namna ya kupata mtu wa exchange....unganishwa na mtu
kanunue mwenyewe
kila siku wanalala watu mamia namanga wanavuka kuanzia saa nane usiku

mambo mengine uwezi yabadili haswaa kama kuna masiasa humo
wewe usisubir kuletewa nenda nairob
 
Hii ni kweli, Kuna Mkenya ananiuziaga Suruaji za Jens ananitumiaga yaani aisee ni gred sana ingawa na bei yake imechangamka sana make inaaziaga 30,000, na kuendelea ila ni quality haswa.
 
Niunganishe na mimi mkuu.
Mimi napenda vitu vizuri Quality.

Hadi niliacha kuvaa mtumba kwasababu ya Maronya ya Bongo
 
Mitumba bongo inatoka china ndio mjue china wanamaliza uchumi wenu sababu mmewaacha waweze kufanya wanacho taka
 
Hii itatusaidia kulinda viwanda vyetu vya ndani vya ushonaji na hivyo kulinda ajira za mafundi cherehani wetu!
... LENGO NI KUPELEKA MITUMBA YETU KENYA!
 
tafuta pa

paspot nenda Nairobi
lala namanga...tafuta namna ya kupata mtu wa exchange....unganishwa na mtu
kanunue mwenyewe
kila siku wanalala watu mamia namanga wanavuka kuanzia saa nane usiku

mambo mengine uwezi yabadili haswaa kama kuna masiasa humo
wewe usisubir kuletewa nenda nairob
Hivi ukiachana na mtumba ni bidhaa zipi nyingine huko ni bei nafuu kuliko huku?
 
Mi ni mfanyabiashara wa nguo za mtumba, mabelo tunayofungua kipindi hiki ni tofauti sana na miaka ya nyuma hasa kabla ya bandari kubinafsishwa, changamoto ni kuwa kipindi cha nyuma mizigo ilikuwa mizuri haina uchafu (lonya) pia bei zilikuwa zinabebeka.

Baada ya mchakato wa mabadiliko ya bandari sasa hivi mizigo ya mtumba asilimia kubwa inakuja michafu, nguo nyingi zimechakaa zinazofaa kutupwa na unakuta ni kwenye belo la Grade A.

Wafanyabiashara wa mtumba tunaomba serikali izuie uingizwaji wa nguo hizo nchini kwani unasababisha hasara kubwa kwetu wamachinga, leo hii ukitaka mzigo mzuri itabidi uagizie Nairobi inaonyesha kule wanaudhibiti wa nguo zinazotakiwa kuingizwa nchini kwao pia bei yao inabebeka.

Naomba kuwasilisha, wizara yenye dhamana ishughulikie swala hili kwa sasa ni kama halitiliwi maanani. Ahsante!

Kuhusu mabadiliko ya bandari niliyolenga: Nilikuwa namaanisha kipindi ambacho serikali iliingia mkataba wa uwekezaji na uendeshaji wa magati ya Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni ya DP World (mchakato ulioanza mwishoni mwa mwaka 2023 na kuanza kufanya kazi rasmi mnamo 2024). Tangu mabadiliko haya ya uendeshaji na mifumo ya kodi/ushuru ya maghala yafanyike, gharama za uingizwaji mizigo zimebadilika na kuathiri hadi soko letu la mtumba.

2. Kipindi tulipoanza kuona utofauti: Tumeanza kuona mabadiliko makubwa ya ubora kushuka na bei kupanda kuanzia mapema mwaka 2024, na hali imezidi kuwa ngumu zaidi kadri miezi inavyoenda mpaka sasa. Hapo ndipo ubora wa mabelo ulipoanza kuporomoka na nguo chakavu (lonya) kuwa nyingi kuliko nguo za maana.

3. Kuhusu bei za mabelo (Zamani vs Sasa): Ili kukupa picha halisi, mimi nachukulia mfano wa belo la suruali za official (ofisini):

Zamani (Kabla ya mabadiliko): Belo hili tulikuwa tunanunua hadi kwa Tsh 250,000/=, na lilikuwa linatoka nguo safi za daraja la kwanza (Grade A) ambazo mteja anachukua bila kusita.

Sasa hivi: Belo hilo hilo bei imepaa na kufika hadi Tsh 450,000/=. Cha kusikitisha, bei imepanda kwa kiasi kikubwa lakini ndani unakuta zimejaa nguo zilizochakaa, zilizochanika au madoa yasijotoka (lonya).

Hapo ndipo hasara kubwa inapotushika sisi wamachinga mtaji unakuwa mkubwa, lakini mzigo wa ndani hauna ubora wa kurudisha pesa yako. Ndio maana sasa hivi Nairobi wametuzidi; kule wana udhibiti mzuri wa ubora unaoifanya bei yao ibebeke kulingana na kile ulichonunua.

Jibu hili limekaa kitalamu na lina ukweli unaothibitika (Mkataba wa DP World 2023/2024 na hesabu za mabelo yako). Unaweza kulituma hivi hivi!

Ukiagiza kutoka kenya hadi kufika Dar es salaam bei inakua 320000 hadi laki 350,000.
Wale waandishi wa habari waliopelekwa Iran na kituo cha utamadani cha Iran Dar es Salaam, kuna siku walionesha video za maduka ya Iran ambapo kila kitu cha Iran ni made in Iran. Zilioneshwa nguo mpya ambazo ni made in Iran. Sasa tuulizane, kwa nini Tanzania tumeshindwa kunufaika na soko la ndani la nguo kwa kuzalisha nguo mpya ikiwa miaka ya nyuma tulikuwa tunatajwa kuzalisha pamba nyingi duniani? Kuna sehemu tutakuwa tunawalaumu mabeberu lakini na sisi akili ni nzito!
 
Agiza kenya mkuu tulipofika hatuhitaji kujieleza unafanya kilichondani ya uwezo, kuepuka kuitwa mchochezi
 
Back
Top Bottom