BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Na wengine wengi tu walikutana pamoja hotel moja na kutoa tamko la pamoja kama watu wa Mungu na wanaomhubiri Kristo wanasikitika sana kuona watumishi wengine wakifurahia shida za wenzaoo inasikitisha sana sana na wameapa hili jambo awataruhusu kwemye umoja wao.
Mc Maboya alimkaribisha Askofu Lusekelo mzee wa upakoo dah mzee akumenya wala kumumunya akaanza kutaja majina kadhaa haoo ni wanafiki hawaihubiri injili ya Mungu.
Amesema amesoma Mwanzo mpaka Ufunuo hajawahi ona mitume wakipata shida wenzao wanafurahiaaa. Akasema unapojishusha Mungu anakupandisha leo wameona hata aibu kuja hapa dah.
Nae mtume Dk. Mwamposa alipewa nafasi ya kuongea akitumia hekima dk tatu akagawa mike na kusema anashukuru wote waliokuwa nae bega kwa bega alipopitia anaamini Mungu anaemwamini ndie Mungu wa mitume wote walio hapa.
Akasema anamshukuru Mungu kwa yote na kupitia tatizo hili ameweza kujua wazuri ni wapi wabaya ni kina nani akarudisha mike.
Mungu awasaidie mpendane hivi hivi kumuaibisha shetani na matakataka yake.