Mitume na manabii wakutana leo Sinza, alikuwepo Gwajima, Mwamposa, Mzee wa upako na Mc alikuwa mtume Maboya....Raha tupu

BASIASI,

Baaria wakati unaandika hili chapisho...ulikuwa umepiga kasichana nini...mtirirko hata haueleweki...
Kama kuandika moja kwa moja hauwezi...anza kuchora kwenye karatasi ndio uchape...

OVAAAAAA
 
Yaani kati ya watu wanaohujumu uchumi hawa matapeli wanaongoza - kiukweli Mungu anawaona wanavyokusanya pesa za masikini kujitajirisha kwa shida za watu
 
Sema kilikuwa kikao cha wazushi na matapeli wa kiroho
 
Dah hili swali huwa lanisumbuaga sana hilii “hivi tutajuaje kuwa hawa ni manabii wa kweli au wa uongo?”
Jibu lipo, soma bila kuacha point hapa Mathayo 7:15-29
 
Hao ni wachungaji, hatuna MITUME dunia ya leo iliyojaa dhambi na dhihaka za wanadamu mbele ya Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu amejitenga na uso wa dunia kwa ajili ya dhambi za wanadamu - Mungu haongei tena na wanadamu directly kama alivyofanya kwa manabii wa kale kina Daniel, Yona, Elia, Mussa, Joshua nk. Badala ya ke alimleta mwana wake Yesu kristo ili iwe link yetu na yeye.

Kwa hiyo hawa ni wachungaji ambao wanatuunganisha sisi kondoo kupata wokovu kwa kupitia damu ya Yesu kristo iliyomwagika pale msalabani.
 
Dah hili swali huwa lanisumbuaga sana hilii “hivi tutajuaje kuwa hawa ni manabii wa kweli au wa uongo?”
Check kwenye red hapo.
Screenshot_2020-02-23-08-19-43-04.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wachungaji, hatuna MITUME dunia ya leo iliyojaa dhambi na dhihaka za wanadamu mbele ya Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu amejitenga na uso wa dunia kwa ajili ya dhambi za wanadamu - Mungu haongei tena na wanadamu directly kama alivyofanya kwa manabii wa kale kina Daniel, Yona, Elia, Mussa, Joshua nk. Badala ya ke alimleta mwana wake Yesu kristo ili iwe link yetu na yeye.

Kwa hiyo hawa ni wachungaji ambao wanatuunganisha sisi kondoo kupata wokovu kwa kupitia damu ya Yesu kristo iliyomwagika pale msalabani.
Huyo Gwajima alikuwa mjumbe wa CC ya Chadema!
 
Back
Top Bottom