Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana.
unaweza kusoma Quran?
 
Acha kuuchafua Uislamu na njaa zako izo
Kisomo cha Ahlul Badri inapatikana wapi ??? Uislamu au kwa wenzetu wakristo ! Tukubali ukweli kitabu cha Quran ukisoma in deep na kufuata mambo mengi lazma utaonekana mchawiii 💔
 
Umesema mwenyewe kwamba kwa kutumia kitabu hicho Basi linapata ajali au bodaboda anakufa.
Pia umeseema usikae karibu na mahubiri ya Kristo kwani ataunguza hiyo deal ya kishetani. Hivi hawakuongelea suala la MTU kusoma hicho kitabu na kupewa mabikra sabini na pombe ya kwenye mitaro.
 
Sasa Mtu unachagua vipi njia moja kati ya hizo ulizozitaja?.
 
Santos06 hizi mambo za kushirikina zimesababisha mzee wa miaka 60 akatwe pumbu huko njombe 😂😂😂

Kisa Kala hela ya mgonjwa wa kichaa na akashindwa kumponyesha kichaa chake ndipo huyo kichaa akamkata mzee wa watu

Hiyo jero nayo inaweza sababisha mauaji 😀😀
🤔🤔🤔Alokatwa ni mganga au
 
Halafu kuna mpuuzi mmoja alikuja kwenye kijiwe changu na hiyo 500 ya noti, alisema eti hawezi kumpa tu kwa namna yoyote ile! Nilimshangaa sana.

Nahisi atakuwa na mtazamo hasi kama wa mtoa mada.
 
Santos06 hizi mambo za kushirikina zimesababisha mzee wa miaka 60 akatwe pumbu huko njombe [emoji23][emoji23][emoji23]

Kisa Kala hela ya mgonjwa wa kichaa na akashindwa kumponyesha kichaa chake ndipo huyo kichaa akamkata mzee wa watu

Hiyo jero nayo inaweza sababisha mauaji [emoji3][emoji3]
Kichaa kakata Mazaga yote kaweka pembeni kabisa. Nimesoma kwa millard asubuhi nikasikitika ila nimecheka sana baada ya kusoma hapa kwako. Jf ina raha sana

Sijui kichaa alijuaje kama hajapona bado na mganga kanywea pombe hela yake....eti wanaserebuka na kulewa pombe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichaa kakata Mazaga yote kaweka pembeni kabisa. Nimesoma kwa millard asubuhi nikasikitika ila nimecheka sana baada ya kusoma hapa kwako. Jf ina raha sana

Sijui kichaa alijuaje kama hajapona bado na mganga kanywea pombe heka yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kichaa mwenyewe ameeleza kwa ufasaha kwa nn kamkata nyeti huyo mzee 😂😂😂😂😂
 
- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana.

- Kwanza nimegundua kuwa ule msemo wa Adui mkubwa wa umasikini ni Elimu ni kweli kabisaa na hii ni kwasababu ya kukosaa maarifa.

- Niseme wazii huku mtaani hali ni ngumu hasa kwa sisi tunaotegemea kutoka. ukapambane ili maisha yaendee.

- Huku mtaani umachingaa umekuwa sio dili sana kipindi hiki , mara kukimbizanaa na migambo mara TRA na mikodii yao na ukiangalia kwa kina hawa wajomba wanachukua karibia nusu ya asilimia kwenye faidaa kupitia migongo ya Tozoo ambazo kimsingi ni za hovyo kwani zinaliwaa na viongozii wetu kipindii hichii cha skukuuu!

Sasaiv bei za maisha zimepandaa, japo tunatofautiana kuna wengine saiv kidogo milango imefunguka maana pale " bandarini mloo " sasa inapatikana kiuwepesii kulinganisha na alivokuwa mwamba kabla hajadondokaa futii sita!

- Hali hii imechangiwa na viongozii wetu kuminya mzunguko wa hela na kuenda kujenga miradi ambayo kiukweli inahitaji hela kiasi kidogo ila kupitia mgongo wa "kutengeneza kitu Bora " ndo tunasikia miradii ya ajabu kama daraja kujengwa kwa bilioni wakati ukiona machoni ipo kiwango cha milioni isiyozidii 50.

Hapa nilipo tayari nimesharudii nyumbani na nimemwambia waifu atulie kuna mchongoo nausikilizia ! Nimesikia ukiwa na jero ya notii unafanya haya.View attachment 2460956

- Unaenda njia panda unachuchumaa unaokota nyao za wapita njia alafu unatia kwenye noti yako alafu unapiga dua ndani ya dakika 3 unapokea sms kuwa umepokea millioni 25 NMB,CRDB bank ikionesha hela imetoka NSSF mafao.

- Au unaenda kwa vyumba vya wahaya na noti yako mfuko wa shati unavolipia mchezo unajifanya umeangusha hiyo noti kitandani basi hela zote atakazopata kwa kukazwa mnagawana pasu kwa pasu yaani chuma uletee.

- Au unaenda usiku stendi kuu ya magufuli palee unatoa jero yako ya noti na unaguzishaa kwenye tairii ya gari ! Hapo ni mawili basi hilo likipata ajali unapokea million 20 kama ajali haijatokea basi rushwa zotee atakazopokea matraffic kwenye hilo basi unapata asilimia 60%

- Au unapanda boda boda alafu unamuomba helmet uvae akikupaa unachukua hiyo helmet unaweka jero yako na unavaa ! Huyo boda boda hamalizii mwezi tayari ashavuja damu ww huku account inasoma milioni 2.

- Au unachukua hiyo noti ya jero unaenda nayo kwa ma sheikh wanapiga dua unaenda kuizindikaa karibia na biashara yako au unaenda kuizindika sokoni basi hapo utakuwa unapata asilimia 3 ya faida kwa kila atakaefanya biashara hapo sokoni.

Masharti ni kusoma aya flani kwenye koran yenye nguvu za ziada na usilee nyamaa zaidi ya samaki kwa siku 7 na usikae sehemu yenye mahubirii ya bibilia, mkekaa utachanikaa.

Hivyo nipo hapaa na kitabu cha koran nasikia hakuna kitu ambacho hakipo kwanzia miujiza mpaka na uchawi wenyewe upo hapa.

Sasa nasubiri midaa ifikee nijaribu mbinu hizii.
View attachment 2460951
Kwamba unaunasibisha uislamu na uchawi? Unataka kutumia quran kukamilisha ushirikina wako? Kitabu ambacho kimepinga ushirikina kwa aya nyingi tu leo unasema kuna aya fulani fulani sinafanya mambo fulani fulani ....ni aya gani hizo? Quran ina sura 114 aya 6236 na nakuhakikishia hakuna aya hata moja inayosapoti huo upuuzi .

Hao mashekhe ni waganga tu na hakuna la maana wanalofanya zaidi ya kumtukana muumba wao kwa kukitumia kitabu chake kitakatifu kwenye mambo yao ya ulozi .

Jitume mkuu hayo mambo hayatakusaidia kitu chochote zaidi ya hasara na mwisho wa siku ukifa unakuwa hauna chako.
 
Back
Top Bottom