Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana.
unaweza kusoma Quran?
 
Acha kuuchafua Uislamu na njaa zako izo
Kisomo cha Ahlul Badri inapatikana wapi ??? Uislamu au kwa wenzetu wakristo ! Tukubali ukweli kitabu cha Quran ukisoma in deep na kufuata mambo mengi lazma utaonekana mchawiii πŸ’”
 
Umesema mwenyewe kwamba kwa kutumia kitabu hicho Basi linapata ajali au bodaboda anakufa.
Pia umeseema usikae karibu na mahubiri ya Kristo kwani ataunguza hiyo deal ya kishetani. Hivi hawakuongelea suala la MTU kusoma hicho kitabu na kupewa mabikra sabini na pombe ya kwenye mitaro.
 
Sasa Mtu unachagua vipi njia moja kati ya hizo ulizozitaja?.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”Alokatwa ni mganga au
 
Halafu kuna mpuuzi mmoja alikuja kwenye kijiwe changu na hiyo 500 ya noti, alisema eti hawezi kumpa tu kwa namna yoyote ile! Nilimshangaa sana.

Nahisi atakuwa na mtazamo hasi kama wa mtoa mada.
 
Kichaa kakata Mazaga yote kaweka pembeni kabisa. Nimesoma kwa millard asubuhi nikasikitika ila nimecheka sana baada ya kusoma hapa kwako. Jf ina raha sana

Sijui kichaa alijuaje kama hajapona bado na mganga kanywea pombe hela yake....eti wanaserebuka na kulewa pombe [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kichaa mwenyewe ameeleza kwa ufasaha kwa nn kamkata nyeti huyo mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwamba unaunasibisha uislamu na uchawi? Unataka kutumia quran kukamilisha ushirikina wako? Kitabu ambacho kimepinga ushirikina kwa aya nyingi tu leo unasema kuna aya fulani fulani sinafanya mambo fulani fulani ....ni aya gani hizo? Quran ina sura 114 aya 6236 na nakuhakikishia hakuna aya hata moja inayosapoti huo upuuzi .

Hao mashekhe ni waganga tu na hakuna la maana wanalofanya zaidi ya kumtukana muumba wao kwa kukitumia kitabu chake kitakatifu kwenye mambo yao ya ulozi .

Jitume mkuu hayo mambo hayatakusaidia kitu chochote zaidi ya hasara na mwisho wa siku ukifa unakuwa hauna chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…