Nimefika Old Jerusalem hadi kwenye Kaburi la Yesu na Jiwe lile walilofunika Kaburi.Huna haja ya kwenda Israeli ili upone au kuona miujiza. Yesu alifufuka, yuko hai na yupo kila mahali. Uwezo wake wa kuponya na kutenda miujiza haujabadilika. Hapo hapo ulipo Yesu anaweza kukuokoa, kukuponya na kukuondolea tatizo sugu unaliona katika maisha yako, ukimuomba kwa imani.
Ukitaka kujua kwa undani habari za maisha ya Yesu, kifo chake na kufufuka kwake, sio lazima pia uende Israeli. Unaweza tu kusoma Biblia. Habari zake zote zimeandikwa katika Biblia. Lakini pia ukipata neema ya kwenda kuzuru Israeli, fanya hivyo. Utajifunza mengi kuhusu maisha ya Yesu alipokuwa duniani. Kumbuka tu heri aaminiye pasipo kuona(Yn 20:29)
Yes King Sae I’m okay 🙂Are you okay...?
View attachment 3308829
Wakrete siku zote ni waongo, wanazichukua habari za Wayahudi na kuzi pindua pindua:Mpaka hivi leo wakristo hamkubaliani juu ya eneo moja kati ya mengi yaliyopendekezwa kuwa kaburi la Yesu.
Hali ni tete.
Na unategemea watu walio timamu waamini hivyo visa vyako pasi ushahidi wowote...
Kwakweli mshamba_hachekwiMpaka hivi leo wakristo hamkubaliani juu ya eneo moja kati ya mengi yaliyopendekezwa kuwa kaburi la Yesu.
Hali ni tete.
Na unategemea watu walio timamu waamini hivyo visa vyako pasi ushahidi wowote...
Na wewe Setfree, hauliishi jina lako.Kwakweli mshamba_hachekwi
Maoni yako ni mazuri. Umefikiri kwa kina.
Ni sawa, kuna maeneo mawili yanayotajwa kuwa ndio kaburi la Yesu — Holy Sepulchre na Garden tomb. Lakini kwa Wakristo, kilicho muhimu sio eneo alilozikwa Yesu, bali kwamba kaburi liko wazi, Yesu alifufuka.
Ukitaka ushahidi wa hiyo miujiza, kawaulize hao wazungu waliopona. Wazungu sio wepesi wa kuamini miujiza. Mpaka wathibitishe kwanza kwa vipimo vya madaktari bingwa. Shuhuda hizo zingekuwa zimetolewa na waliohudhuria mikutano ya chumvi na mafuta feki ya upako, hata mimi nisingeziandika hapa🙂
“Heri wale wasioona, wakasadiki.” — Yohana 20:29
Nna uhakika idadi ya wanaokufa wakitegemea miujiza kuliko kwenda hospitali ni kubwa kuliko ya wanapata hyo unayoita miujiza, ila akili ya mwanadamu ishaprogramiwa kupumbazwa mpaka ikiwa watakufa watu 200 ila ikatokea coincidence wakapona wawili basi inasahau wale waliokufaKwakweli mshamba_hachekwi
Maoni yako ni mazuri. Umefikiri kwa kina.
Ni sawa, kuna maeneo mawili yanayotajwa kuwa ndio kaburi la Yesu — Holy Sepulchre na Garden tomb. Lakini kwa Wakristo, kilicho muhimu sio eneo alilozikwa Yesu, bali kwamba kaburi liko wazi, Yesu alifufuka.
Ukitaka ushahidi wa hiyo miujiza, kawaulize hao wazungu waliopona. Wazungu sio wepesi wa kuamini miujiza. Mpaka wathibitishe kwanza kwa vipimo vya madaktari bingwa. Shuhuda hizo zingekuwa zimetolewa na waliohudhuria mikutano ya chumvi na mafuta feki ya upako, hata mimi nisingeziandika hapa🙂
“Heri wale wasioona, wakasadiki.” — Yohana 20:29
Duh, umepotea njia, mkuu. Hili sio jukwaa la siasa. Tunajadili hapa miujiza iliyofanyika kwenye kaburi la Yesu.Mliobahatika tafadhali muombe kwa nguvu ccm itoke madarakani inadhulumu democrasia muda mrefu !! Mnawezq mkadhani nadhihaki ila naongea kutoka moyoni Mungu atende miujiza kiukweli tunateseka
Tuanzie kwanza kwenye Biblia, kitabu chenye habari za kweli. Umesoma wapi kwamba waliokufa kwa kutegemea miujiza ni wengi?Nna uhakika idadi ya wanaokufa wakitegemea miujiza kuliko kwenda hospitali ni kubwa kuliko ya wanapata hyo unayoita miujiza, ila akili ya mwanadamu ishaprogramiwa kupumbazwa mpaka ikiwa watakufa watu 200 ila ikatokea coincidence wakapona wawili basi inasahau wale waliokufa