Yesu anakuitaMilembe inakuita
Sasa kwanini wakiristo wanaenda hospital? Wasikimbilie hukoHuna haja ya kwenda Israeli ili upone au kuona miujiza. Yesu alifufuka, yuko hai na yupo kila mahali. Uwezo wake wa kuponya na kutenda miujiza haujabadilika. Hapo hapo ulipo Yesu anaweza kukuokoa, kukuponya na kukuondolea tatizo sugu unaloliona katika maisha yako, ukimuomba kwa imani.
Ukitaka kujua kwa undani habari za maisha ya Yesu, kifo chake na kufufuka kwake, sio lazima pia uende Israeli. Unaweza tu kusoma Biblia. Habari zake zote zimeandikwa katika Biblia. Lakini pia ukipata neema ya kwenda kuzuru Israeli, fanya hivyo. Utajifunza mengi kuhusu maisha ya Yesu alipokuwa duniani. Kumbuka tu heri aaminiye pasipo kuona(Yn 20:29)
Naomba kuuliza..Mtu mwingine aliyeshuhudia muujiza baada ya kuingia katika kaburi alilokuwa amezikwa Yesu, ni Mchungaji Hopson Laura. Laura alikuwa na maumivu ya kichwa yaliyodumu kwa miaka zaidi ya 30. Mwaka 2010, Mchungaji Laura alitembelea kwenye kaburi hilo. Alipoingia hakuweza kujizuia, akaanza kulia na kuomba kwa dakika 40. Baada ya maombi hayo maumivu yalitoweka kabisa!
Kama unatafuta ushahidi wa watu waliopona magonjwa na udhaifu unaoonekana wazi, anzia kwanza kwenye Biblia. Soma Biblia utaona habari za miujiza mikubwa, kwa mfano Lazaro aliyekuwa amekufa kabisa, ananuka, lakini akafufuliwa na Yesu. Ila kama Biblia huiamini huwezi pia kuamini hata ukiambiwa leo kuna kiwete ametembea kwa Jina la Yesu.Naomba kuuliza..
Kwanini watu wote wanaopata miujiza ni wale tu wenye magonjwa ambayo hayaonekani kwa macho wala hayana ushahidi bayana?
Kaburi la Mtume Mwamedi Mwamposa Lina miujiza Gani?Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika kaburi hilo ndipo ulipofanyika muujiza mkubwa wa kufufuka kwa Yesu. Baada ya hapo miujiza mingine ya kushangaza imeendelea kufanyika katika kaburi hilo mpaka leo!
Mtu mmoja kutoka Romania, macho yake yalikuwa hayaoni vizuri mpaka avae miwani. Alipoingia katika kaburi hilo, kwa ghafla macho yake yalipona, akaweza kuona vizuri mpaka alama ndogo ya msalaba iliyochorwa kwenye ukuta wa kaburi hilo. Akaanza kupaza sauti: "Ninaona, ninaona!"
Muujiza mwingine ulifanyika kwa kijana Jean Carlo Rodriguez kutoka Ecuador, aliyekuwa anaumwa ugonjwa wa hatari sana(hydrophilis). Ugonjwa huu ulisababisha majimaji kujaa kwenye ubongo wa kijana huyo na kuifanya sehemu kubwa ya mwili wake ipooze(paralysed). Siku moja, familia ya Jean ilitembelea Israeli. Wazazi wake walimuingiza Jean kwenye kaburi hilo, wakaanza kumuomba Mungu. Ghafla Jean alianza kulia, akaweza kusimama mwenyewe.
Dada yake Jean, alikuwa anamlaumu Mungu kama Atheists wanavyofanya kwa kusema: "kwanini Mungu aliruhusu ugonjwa huo umpate kaka yake?" Baada ya muujiza huo wa uponyaji, dada yake huyo alibadilika, akamwamini Yesu, na sasa anamtumikia Mungu.
Shuhuda ni nyingi. Endelea kusoma...
Kaburi alilozikwa Yesu baada ya kufa msalabani, limehifadhiwa katika nchi ya Israeli hadi leo. Watu wanaoingia ndani ya kaburi hilo, wamekuwa wakishuhudia uwepo wa Mungu na miujiza mingi. Katika kaburi hilo ndipo ulipofanyika muujiza mkubwa wa kufufuka kwa Yesu. Baada ya hapo miujiza mingine ya kushangaza imeendelea kufanyika katika kaburi hilo mpaka leo!
Mtu mmoja kutoka Romania, macho yake yalikuwa hayaoni vizuri mpaka avae miwani. Alipoingia katika kaburi hilo, kwa ghafla macho yake yalipona, akaweza kuona vizuri mpaka alama ndogo ya msalaba iliyochorwa kwenye ukuta wa kaburi hilo. Akaanza kupaza sauti: "Ninaona, ninaona!"
Muujiza mwingine ulifanyika kwa kijana Jean Carlo Rodriguez kutoka Ecuador, aliyekuwa anaumwa ugonjwa wa hatari sana(hydrophilis). Ugonjwa huu ulisababisha majimaji kujaa kwenye ubongo wa kijana huyo na kuifanya sehemu kubwa ya mwili wake ipooze(paralysed). Siku moja, familia ya Jean ilitembelea Israeli. Wazazi wake walimuingiza Jean kwenye kaburi hilo, wakaanza kumuomba Mungu. Ghafla Jean alianza kulia, akaweza kusimama mwenyewe.
Dada yake Jean, alikuwa anamlaumu Mungu kama Atheists wanavyofanya kwa kusema: "kwanini Mungu aliruhusu ugonjwa huo umpate kaka yake?" Baada ya muujiza huo wa uponyaji, dada yake huyo alibadilika, akamwamini Yesu, na sasa anamtumikia Mungu.
Shuhuda ni nyingi. Endelea kusoma...
Sasa kwenda kuombea kaburini kitakutofaurishaje na wapagani waendao kupiga magoti kwenye makaburi ya Babu zao?Nimefika Old Jerusalem hadi kwenye Kaburi la Yesu na Jiwe lile walilofunika Kaburi.
Nikiwa kwenye lile jengo la kaburi nilihakikisha naiombea Taifa tupate kiongozi mpenda haki, anayechukia rushwa kwa uthabiti na atakaye waletea maendeleo Watanzania.
Pia Mungu aabudiwe Tanzania na aonekane.
Nasubiri muujiza wangu.
Process zimeshaanza
Mungu mwenyewe ameiita Ardhi ile ni Takatifu na ni Ardhi yake. Wewe unapinga?Sasa kwenda kuombea kaburini kitakutofaurishaje na wapagani waendao kupiga magoti kwenye makaburi ya Babu zao?
Yesu Yu hai, omba popote anasikia na anajibu.
Kuheshimu nchi na ardhi ya Israel na kuomba kaburini kuna mahusiano gani?Mungu mwenyewe ameiita Ardhi ile ni Takatifu na ni Ardhi yake. Wewe unapinga?
Koreshi, Dario na Atashasta wote waliheshimu sana swala la Israeli na Ardhi yake.
S.M.P2502 njoo
Hiyo miujiza unayoisema, ilifanyika miaka zaid ya 2000 iloyopita. Wewe, mimi, wala mtu yoyote unaemjua hakuwepo kipindi hicho. Na pia wakati huo, hakukua na njia yoyote ya kutunza kumbukumbu zaidi ya maneno matupu.Kama unatafuta ushahidi wa watu waliopona magonjwa na udhaifu unaoonekana wazi, anzia kwanza kwenye Biblia. Soma Biblia utaona habari za miujiza mikubwa, kwa mfano Lazaro aliyekuwa amekufa kabisa, ananuka, lakini akafufuliwa na Yesu. Ila kama Biblia huiamini huwezi pia kuamini hata ukiambiwa leo kuna kiwete ametembea kwa Jina la Yesu.
Matendo 3:2-10
Basi palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa. Alichukuliwa na kuwekwa kwenye lango la Hekalu liitwalo Zuri, kila siku ili aombe msaada kwa watu wanaoingia Hekaluni. Huyu mtu alipowaona Petro na Yohana wakikaribia kuingia Hekaluni, akawaomba wampe sadaka. Wakamkazia macho, kisha Petro akamwambia, “Tutazame sisi.” Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Ndipo Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nitakachokupa. Kwa jina la Yesu wa Nazareti, tembea!” Petro akamshika yule mtu kwa mkono wa kuume akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu. Akaruka juu na kusimama, akaanza kutembea. Kisha akaingia Hekaluni pamoja na Petro na Yohana, huku akitembea na kurukaruka na kumsifu Mungu. Watu wote walipomwona akitembea na kumsifu Mungu, wakamtambua kuwa ni yule mtu aliyekuwa akiketi nje ya Hekalu penye lango liitwalo Zuri akiomba msaada, nao wakajawa na mshangao, wakastaajabu kwa yale yaliyomtukia.
Kwahiyo the best evidence you can come up with ya mtu alieponywa udhaifu unaoonekana wazi ni from 2000 years ago..? Tena kutoka kwenye kitabu ambacho sio historical fact, ni cha simulizi?Kama unatafuta ushahidi wa watu waliopona magonjwa na udhaifu unaoonekana wazi, anzia kwanza kwenye Biblia. Soma Biblia utaona habari za miujiza mikubwa, kwa mfano Lazaro aliyekuwa amekufa kabisa, ananuka, lakini akafufuliwa na Yesu.