Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema / wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia Mafuta na Maji ya Upako. Wapo wanaosema wamekunya Au kutapika au kujifungua:- Kobe, Hirizi, Panya, Tandu, Jongoo, Nyoka, Toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua Nyoka Nje ya Nyumba zao au Paka. Nisaidieni hii ni Miujiza Gani ya kutoa wadudu na wanyama hai mwilini?
Hizo ni biashara za watu.
Ogopa matapeliYaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema / wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia Mafuta na Maji ya Upako. Wapo wanaosema wamekunya Au kutapika au kujifungua:- Kobe, Hirizi, Panya, Tandu, Jongoo, Nyoka, Toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua Nyoka Nje ya Nyumba zao au Paka. Nisaidieni hii ni Miujiza Gani ya kutoa wadudu na wanyama hai mwilini?
Mimi Nina Mgonjwa nimejaribu kumpaka hayo Mafuta na Maji lakini haponi. Maji nilinunua Kwa Imani na Maji kichupa 1000/= .Kuna wanaopona na wasiopona ikiwa wote Tumetumia Maji na Mafuta ya Upako?
Mzee hayo ni matangazo ya biashara kama biashara nyingine so usitake kuharibia watu biashara zaoYaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema / wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia Mafuta na Maji ya Upako. Wapo wanaosema wamekunya Au kutapika au kujifungua:- Kobe, Hirizi, Panya, Tandu, Jongoo, Nyoka, Toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua Nyoka Nje ya Nyumba zao au Paka. Nisaidieni hii ni Miujiza Gani ya kutoa wadudu na wanyama hai mwilini?
Hii taarifa inapoendelea inasema Mgonjwa ni Mgonjwa wa Akili. Kuna uwezekano alikula hivyo Vitu toka Jalalani . Kwa hiyo Ndugu hakuna Miujiza hapo kichaa alimeza Mwenyewe hivyo Vitu. Wa Kule wanazaa / kunya/ kutapika Jongoo hai, Nyoka hai, Kobe hai, tandu hai, Panya hai 🏃toka tumboni mwao.Fanya utafiti zaidi
Afanyiwa upasuaji na kutolewa kijiko, betri, vitambaa tumboni
Hospitali Teule ya Wilaya ya Missenye ya Mugana mkoani Kagera imefanya upasuaji na kutoa kijiko, betri ndogo ya redio na vitambaa kwenye tumbo la mgonjwa wa akili.www.mwananchi.co.tz
Hii taarifa inapoendelea inasema Mgonjwa ni Mgonjwa wa Akili. Kuna uwezekano alikula hivyo Vitu toka Jalalani . Kwa hiyo Ndugu hakuna Miujiza hapo kichaa alimeza Mwenyewe hivyo Vitu. Wa Kule wanazaa / kunya/ kutapika Jongoo hai, Nyoka hai, Kobe hai, tandu hai, Panya hai 🏃toka tumboni mwao.
Wengi waongo, wachache ni kweli ila sio kwa hawa manabiiYaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka.
Nisaidieni hii ni miujiza gani ya kutoa wadudu na wanyama hai mwilini?
Kwani hata hospital wanapona wote? Au shuleni wanafaulu wote?!Mimi Nina Mgonjwa nimejaribu kumpaka hayo Mafuta na Maji lakini haponi. Maji nilinunua Kwa Imani na Maji kichupa 1000/= .Kuna wanaopona na wasiopona ikiwa wote Tumetumia Maji na Mafuta ya Upako?
Swali linakuja mafuta yapi,hayo mafuta yanatokana na mini,mafuta wanayotumia akina mwamposya mnajua yanatoka wapi,mnajua yamewekewa nn,bakini ni ujinga wenu,mmesoma ila zero brain,wake zenu wamewazidi akiliImani+Toba+Maombi & mafuta = Uponyaji
Yakobo 5:13-15
"Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."
Swali linakuja mafuta yapi,hayo mafuta yanatokana na mini,mafuta wanayotumia akina mwamposya mnajua yanatoka wapi,mnajua yamewekewa nn,bakini ni ujinga wenu,mmesoma ila zero brain,wake zenu wamewazidi akili