mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Swali linakuja mafuta yapi,hayo mafuta yanatokana na mini,mafuta wanayotumia akina mwamposya mnajua yanatoka wapi,mnajua yamewekewa nn,bakini ni ujinga wenu,mmesoma ila zero brain,wake zenu wamewazidi akili
Ya kina mwamposya siyajui, ninachojua mafuta ya mzeituni ndio mafuta yanayopaswa kutumika.
Hebu tuambie wewe ya kina mwamposya ni yepi😩