Serikali inatuimiza tujiajiri kila uchao, wengi wetu tumekuja vijijini kwa kutafuta fursa hiyo, lakini tunakumbana na changamoto ya barabara mbovu ajabu! Si hilo tu, hata huduma nyingine kama za afya ni mtihani mkubwa sana.

Mwezi uliopita jamaa yangu alienda wilaya ya Uvinza vijiji vya Ikuburu na Lubalisi kununua Maharage, debe ni sh 20,000 pia mahindi debe ni sh 5000 akanunua sasa kimbembe kutoa mzigo bwanaaa, mpaka sasa hajapata gari na bodaboda wamechemsha....