Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi wa kati, hapa kazi tu, Magufuli, miundombinu, kusifu...., akili za kuambiwa.....Serikali inatuimiza tujiajiri kila uchao, wengi wetu tumekuja vijijini kwa kutafuta fursa hiyo, lakini tunakumbana na changamoto ya barabara mbovu ajabu! Si hilo tu, hata huduma nyingine kama za afya ni mtihani mkubwa sana.
Serikali inatuimiza tujiajiri kila uchao, wengi wetu tumekuja vijijini kwa kutafuta fursa hiyo, lakini tunakumbana na changamoto ya barabara mbovu ajabu! Si hilo tu, hata huduma nyingine kama za afya ni mtihani mkubwa sana.