Naona neno hili ni umbo la umoja tayari. Maana jambo lenyewe halina umoja au uwingi kwa sababu inataja hali ya jumla ya barabara / reli/ bandari / njia za maji-umeme na kadhalika.
Mifano unapata mingi ukiweka neno atika dirisha la google (mifano 340,000) kama huu:
"Morogoro,9 January 2010 - WILAYA ya Kilosa inahitaji zaidi ya sh. bilioni 10 ili kufanya ukarabati wa haraka wa miundombinu katika mji wa Kilosa ambao utasadia mafuriko yasitokee tena, imeelezwa."