Miundombinu

Miundombinu

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
440
Reaction score
51
Habari wakuu,

Napenda kujua hili neno 'Miundombinu' u-singular wake ni nini? na ningependa kupata japo sentensi ya mfano
 
Naona neno hili ni umbo la umoja tayari. Maana jambo lenyewe halina umoja au uwingi kwa sababu inataja hali ya jumla ya barabara / reli/ bandari / njia za maji-umeme na kadhalika.
Mifano unapata mingi ukiweka neno atika dirisha la google (mifano 340,000) kama huu:
"Morogoro,9 January 2010 - WILAYA ya Kilosa inahitaji zaidi ya sh. bilioni 10 ili kufanya ukarabati wa haraka wa miundombinu katika mji wa Kilosa ambao utasadia mafuriko yasitokee tena, imeelezwa."
 
Mkuu.Boro Yang.Mimi Naitwa Kazi Miundombinu ni jina langu halisi kwahiyo jina hili halina wingi wala umoja, liko km lilivyo tu.
mfano wa utumizi ni kama ifuatavyo; TANZANIA ili iwezekupiga hatu kimaendeleo haina budi kuboresha MIUNDOMBINU YAKE ili iweze kuendana na kasi ya mabadiriko ya Sayansi na Tekenolojia.
 
Back
Top Bottom