Miungu mitatu yenye nguvu

shekeli sio mungu ni mungu mtoto mwenye nguvu sana kuliko wazazi wake. Hii miungu mingine imekuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Leo kuna jamii nyingi zinaishi primitive life hazitumii shekeli lakini hiyo miungu mitatu ipo inadunda
Daah .. fact!
 
Angalau wewe miungu yakoinaonekana, inaelezeka na haina contradictions.
 
Mimi nikajua ni miungu ya maana kama MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO MTAKATIFU.

Badilika mpokee YESU achana na miungu michafu.
 
Looo,, hiki Kisukuma cha MBITIYAZA mbona kina matege hivyo? "Humulaga lulu" siyo Homolaga lolo, hii itakuwa na maana nyingine kabisa!!
hahahaha umenikumBusha enzi nakua !home baba na mama wanakichabanga kisukuma daily !bas akija mgeni badala ya kusema aleho ngeni!mie nasema' kolena ngeni' bas wanachekaa !haha mkuu mie sijaishi mwanza nakinyapia nyapia kwa wazaz ila ndo HUNITETI !
BDW ulivyoandika nisawa !
makenho mageni bhabha
 
Uli wa Ng'wanza nang'ho MBITIYAZA?
 
Mimi nikajua ni miungu ya maana kama MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO MTAKATIFU.

Badilika mpokee YESU achana na miungu michafu.
Mkuu huyo uliemtaja kama MUNGU BABA, MUNGU MWANA, MUNGU ROHO MTAKATIFU ni MUNGU mmoja nafsi tatu na kamwe hizo nafsi haziitwi miungu au mungu. Katika ukristo/ukristu hakuna miungu, tena kuabudu au kusadiki miungu ni dhambi.
 
Sokoro waito nadhani amekaa sana Ulaya Kiswahili hakijui vyema
 
Mimi nikajua ni miungu ya maana kama MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO MTAKATIFU.

Badilika mpokee YESU achana na miungu michafu.
Trinity utatu mtakatifu. Mungu mmoja nafsi tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…