Miungu mitatu yenye nguvu

Miungu mitatu yenye nguvu

Mimi nikajua ni miungu ya maana kama MUNGU BABA, MUNGU MWANA na MUNGU ROHO MTAKATIFU.

Badilika mpokee YESU achana na miungu michafu.
Trinity utatu mtakatifu. Mungu mmoja nafsi tatu
 
Na kweli huo uvumilivu wa kushindia maji ndio ulionivutia zaidi, hivi mbiti anaweza kweli kushinda njaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo uvumilivu huo tu, ukimkuta msukuma amepigwa pingu anapelekwa rumande ukimuuliza 'maami vipi?' Anakujibu 'nduhu shiidah maami' yaani hakuna shida. wameshazoea matatizo hawa watu.
 
Siyo uvumilivu huo tu, ukimkuta msukuma amepigwa pingu anapelekwa rumande ukimuuliza 'maami vipi?' Anakujibu 'nduhu shiidah maami' yaani hakuna shida. wameshazoea matatizo hawa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aiseeh
 
shekeli sio mungu ni mungu mtoto mwenye nguvu sana kuliko wazazi wake. Hii miungu mingine imekuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Leo kuna jamii nyingi zinaishi primitive life hazitumii shekeli lakini hiyo miungu mitatu ipo inadunda
Dah! Kwa hiyo kiwanda cha Balimi kina uzani mkubwa kuliko BoT?
 
manjanjagara,
Aisee hii stori; Inasisimua
Inafundisha
Inachekesha
Inahuzunisha
Inaonya
Inakasirisha

Mengine nisaidieni
 
Back
Top Bottom