bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kwa hyo sasa ivi mnakijua mnachokiabudu ebu niambie kinafananaje?Shetani hawezi mshinda Mungu,
Kabla ya ujio wa dini waafrika waliabudu wasichokijua thus waliokufa kabla ya dini watahukumiwa Kwa Sheria ya maadili yaani do and don't do, au sheria za asili Sheria ya mema na mabaya.
Iko hivi;Nimependa huu uzi, lakini nina mtazamo na Imani tofauti nawewe
Ulipaswa kusema Imani katika miungu yetu ikishindwa, kwasababu hakuna miungu yeyote ya Kizungu wala kiafrika iliyowahi kuwepo kiuhalisia wala kufanya kazi...isipokuwa tu watu ndio walikuwa na Imani hizo ambazo hazipo
Waafrika tulizidiwa Kiakili, Kimbinu na Kiteknolojia
Kama kungekuwa na miungu ifanyayo kazi japo kidogo tu basi isingewezekana Mwafrika kuteswa kwa ku overwork, kutobolewa miguu na kuvalishwa minyororo, Kunyongwa na kuhasiwa
Aidha, isingewezekana Wanaume shababy wa kiafrika wanne au sita kumbeba mkoloni mmoja kutoka Arusha au Mzizima mpaka Tanga na Same kwenye mashamba ya mikonge kisa ana gobole moja tu kibindoni
MASWALI TAFAKURI:
- Kwanini Waafrika hatukujitahidi kwa kutumia akili na maarifa kugundua silaha kama gobole au risasi kuuwa wakoloni watesao ilihali tulikuwa na wafua chuma wengi wa kutosha huko Ugweno, Engaruka, Meroe, Axum na kwingineko? Jibu ni kuwa tulikuwa Wajinga
- Kwanini hatukuwa na UMOJA ilihali ndio Nguvu? Wao walikuwa wachache sana kuliko sisi tena walituma tu wawakilishi wao wakiwa Ulaya, kwanini walitushinda? Jibu ni kuwa tulikuwa wajinga
Huwa nasema kuwa Watu weusi ni jamii Dhaifu kiakili na kimaarifa kuliko jamii zozote katika dunia hii
So, napinga kuwa tulizidiwa kiimani ya kimiungu, Ukweli ni kuwa tulizidiwa kimbinu, kimaarifa na kiteknolojia kama ilivyo hata leo hii.
Ndio maana nikasema Kuna utata katika kiuelewa haya mambo. Uelewa kuhusu Mungu una utata mwingi maana Kila kundi linafafanua Mungu kwa uelewa wao. Binafsi sipendi kulejelea uumbaji kwa kutumia Mungu.Shukran sana mkuu kwa maelezo mazuri.
Swali linakuja, je MUUMBA Hawezi kuimba miungu ya kufanya kazi fulani fulani?
Kwa sababu Muumba sio Mhitaji lakini Mungu ukifuatilia anasifa ya uhitaji kama vile miungu mingi.
Kama miungu yeti ilipigwa ko,basi kazi ipoAsili ya Akili au wazo ni utata mkubwa.
Huwezi kuwa na akili bila nguvu isiyoonekana (miungu) mawazo huwezi kuyadhibiti au kuyazalisha.
Ni kama chembe ya uhai.
Miungu au Mungu ndio hukupa wazo(akili) na kuiweka katika ubongo wako. Kinachobaki ni juu yako.
Miungu na Mungu ndio hutoa mambo yasiyo onekana katika mwili. Kama uhai na Akili.
Kama miungu yeti ilipigwa ko,basi kazi ipo
Hata sisi tulishindwa kuilinda mizimu maana swala la ulinzi ni la pande zote.Mizimu ilishindwa kutulinda dhidi ya wakoloni na pia dhidi ya biashara ya watumwa.
Ndio maana nikasema Kuna utata katika kiuelewa haya mambo. Uelewa kuhusu Mungu una utata mwingi maana Kila kundi linafafanua Mungu kwa uelewa wao. Binafsi sipendi kulejelea uumbaji kwa kutumia Mungu.
MUUMBA aliweka taratibu au Sheria zitakazosimamia Uumbaji na viumbe wote bila ubaguzi au upendeleo. Ni jitihada za viumbe kujua Sheria hizo na kujiweka katika misingi ya kuzishika ili waweze kuwa na maisha mazuri huku wakitimiza kusudi na hatima yao katika uwepo.
Nimependa huu uzi, lakini nina mtazamo na Imani tofauti nawewe
Ulipaswa kusema Imani katika miungu yetu ikishindwa, kwasababu hakuna miungu yeyote ya Kizungu wala kiafrika iliyowahi kuwepo kiuhalisia wala kufanya kazi...isipokuwa tu watu ndio walikuwa na Imani hizo ambazo hazipo
Waafrika tulizidiwa Kiakili, Kimbinu na Kiteknolojia
Kama kungekuwa na miungu ifanyayo kazi japo kidogo tu basi isingewezekana Mwafrika kuteswa kwa ku overwork, kutobolewa miguu na kuvalishwa minyororo, Kunyongwa na kuhasiwa
Aidha, isingewezekana Wanaume shababy wa kiafrika wanne au sita kumbeba mkoloni mmoja kutoka Arusha au Mzizima mpaka Tanga na Same kwenye mashamba ya mikonge kisa ana gobole moja tu kibindoni
MASWALI TAFAKURI:
- Kwanini Waafrika hatukujitahidi kwa kutumia akili na maarifa kugundua silaha kama gobole au risasi kuuwa wakoloni watesao ilihali tulikuwa na wafua chuma wengi wa kutosha huko Ugweno, Engaruka, Meroe, Axum na kwingineko? Jibu ni kuwa tulikuwa Wajinga
- Kwanini hatukuwa na UMOJA ilihali ndio Nguvu? Wao walikuwa wachache sana kuliko sisi tena walituma tu wawakilishi wao wakiwa Ulaya, kwanini walitushinda? Jibu ni kuwa tulikuwa wajinga
Huwa nasema kuwa Watu weusi ni jamii Dhaifu kiakili na kimaarifa kuliko jamii zozote katika dunia hii
So, napinga kuwa tulizidiwa kiimani ya kimiungu, Ukweli ni kuwa tulizidiwa kimbinu, kimaarifa na kiteknolojia kama ilivyo hata leo hii.
Huwezi linda kitu dhaifu,wao ndio wanakazi ya kutulinda na sio sisiHata sisi tulishindwa kuilinda mizimu maana swala la ulinzi ni la pande zote.
Unavyoona waislam wanafanya jihad na wanasambaza dini kwa njia zote wanazoweza, wanalinda jina la Allah na nguvu zake. The same kwa Wakristo.
Unatakiwa kuwalinda mizimu yako na kuorithisha kwa kizazi kijacho ili iweze kuendelea kuwepo na nguvu zao zidhihirike katika uwepo.
Badala yake tumegeukia kwenye mizimu ya kigeni na tunailinda kwa jasho na damu. Sasahivi wale wanalinda mizimu ya kiafrika tunawaona kama washamba na wajonga lakini tunawaogopa maana ni dhahiri kwamba wananguvu kubwa wakiamua.
Hapana, Ibada ni kwa Mizimu au Wahenga au Mababu.JE huyo muumbaji anahitaji kuabudiwa?
Wanakulinda kiroho nawewe unawalinda kimwili. Wenye mwili ndio walianza kuwa dhaifi hivyo wakapoteza ulinzi kiroho.Huwezi linda kitu dhaifu,wao ndio wanakazi ya kutulinda na sio sisi
Hili nalo neno.Hata sisi tulishindwa kuilinda mizimu maana swala la ulinzi ni la pande zote.
Unavyoona waislam wanafanya jihad na wanasambaza dini kwa njia zote wanazoweza, wanalinda jina la Allah na nguvu zake. The same kwa Wakristo.
Unatakiwa kuwalinda mizimu yako na kuorithisha kwa kizazi kijacho ili iweze kuendelea kuwepo na nguvu zao zidhihirike katika uwepo.
Badala yake tumegeukia kwenye mizimu ya kigeni na tunailinda kwa jasho na damu. Sasahivi wale wanalinda mizimu ya kiafrika tunawaona kama washamba na wajonga lakini tunawaogopa maana ni dhahiri kwamba wananguvu kubwa wakiamua.
Yaan ni kuwa siyo Africa tu unawajuwa wahindi wekundu walichofanywa yaani ni kuteketeza kabisa,latin america yote ikachukuliwa, kuna nchi currently zinajikuta haziingiliki lakin utaona ,na kama utakumbuka wakati wa kombe la dunia pale brazil walifanya ibada za kishetan pale lakin kilichowapata ilikuwa ni kuonyesha yakuwa their are gods are so weakMIUNGU YETU ILISHINDWA, MIZIMU YETU IKAPIGWA, SASA TUMEKUWA JAMII ILIYOANGUKA NA HATUNA TUMAINI TENA LA KUSIMAMA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mila zetu, Desturi zetu, tamaduni zetu, utambulisho wetu na kila kilichokuwa chetu kiliitwa Potofu baada ya kushindwa.
Upotofu upo kwa walioshindwa. Kama tungeshinda katika vita Ile wala istilahi "POTOFU” Isingesikika.
Ni potofu kwa sababu tulishindwa.
Miungu ya Mababu zetu ilishindwa vibaya katika vita ya miungu "god's War" sijajua nini kilipelekea kushindwa kwao. Bado najiuliza.
Je Haikuwa na nguvu ya kutosha kukabiliana na Miungu ya kigeni?
Je Haikuwa na akili na mbinu kabambe za kuwashinda maadui?
Nini kilitokea mpaka Anguko kuu la kutisha lilipotokea ambalo limedumu mpaka leo na hatujui litaendelea mpaka Lini.
Miungu ikishapigwa waumini hawana ujanja tena.
Wakati Ukristo na uislamu unaingia Afrika Wazee na Babu zetu walipambana vilivyo kuukataa kwa nguvu zote lakini ninawasiwasi Miungu yao haikuwapa sapoti ya kutosha kukabiliana na ugeni Ule mbaya.
Au miungu ile ilitoa sapoti lakini haikuwa na nguvu kushinda Maadui waliokuja.
Hatuwezi kusema Waafrika walisaliti miungu yao. Ila ninachokiona ni kuwa miungu ya kiafrika ilizidiwa na haikuwa na nguvu ya kutosha kukabiliana na miungu ya kigeni.
Nakumbuka mpaka nazaliwa zilikuwepo jitihada mbalimbali za wazee wetu wakijitahidi kufurukuta kujaribu kupambana na ujio wa wageni na miungu yao lakini walikuwa wanapambana wakiwa wameshashindwa kwani miungu yao ilikuwa aidha imekimbia au imetekwa au pengine hata kuuawa na miungu ya kigeni.
Miungu ndio imebeba mila, desturi, tamaduni na utambulisho wa jamii husika. Sasa kitendo cha miungu hiyo kupigwa Katiak vita na kufukuzwa au kuangamizwa kabisa kunaiathiri na kuua kabisa desturi , mila na tamaduni ya jamii zao.
Ni mila potofu kwa sababu miungu hiyo imeshindwa.
Ni mila potofu kwa sababu miungu hiyo haina nguvu na haina vigezo na uhalali wa kuitwa miungu.
Ni mila potofu kwa sababu miungu hiyo imeshindwa kutetea Watu wake.
Ni mila potofu kwa sababu miungu hiyo imeshindwa kulinda rasilimali za himaya zao mpaka zinaibiwa na wageni.
Ni mila potofu kwa sababu, miungu hiyo imeshindwa kuwapa Watu wake Akili na kutatua kero na changamoto za jamii yao ikiwemo Umaskini na ujinga.
Miungu na mizimu yako inaposhindwa hauna chochote utakachofanya zaidi ya kujisalimisha kwa miungu ya kigeni.
Ni pigo takatifu ambalo kunyanyuka haiwezekaniki.
Vita ya Miungu, waafrika walipoteza na hatujui miungu yetu ilikimbia, au ipo mateka au iliuawa.
Nyota ya matumaini ya Ukombozi haipo kwa sababu huwezi kukomboa jamii au taifa pasipo Miungu ya kwenu.
Acha Nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mwambie huyo Mungu wa kweli aje hapa ajidhihirishe yupo, Sio wewe kumtetea na kumpigia debe yupo.Yupo Mungu wa kweli, asiyeshindwa.
Mungu huyo wa Israel ni mdhaifu sana.Huyo mnaesema Mungu wa Israel mbona aliwaachaga watu wake miaka mingi utumwani misri na huko babylon na baadae wakaibuka tena,,,,hio pia ni kwa Afrika,,,,hawajashindwa ni muda tu
Aandike kama nani na yeye maswala ya elimu wapi na wapiRobert please write something kuhusu kuhusu hizi combination za kipumbavu mpya 49 za A level hasa kuhusisha dini kwenye Uga wa secular state
We mwenye akili umevumbua nini mpaka sahiviMungu huyo wa Israel ni mdhaifu sana.
Alishindwa kuwaokoa waisraeli kwenye concentration camps za Adolph Hitler wakauwawa maelfu kwa maelfu.
Halafu kuna waafrika wajinga kazi kukesha makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba huyo Mungu wa Israel..