TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Nilishasema humu. Kama umeme hauwaki hakuna porojo zozote ambazo serikali inaweza kupiga tukawaelewa. Hakuna kisingizio chochote wanachoweza kutoa kikawa na mashiko. Chochote watakachosema sisi tunawaangalia tu lakini tunajua this is a failed government.