Sio kweliStrong institution ni watu. Sheria na taratibu ni mapendekezo tu.
Ni J Makamba hakufanya matengenezo yoyote licha ya kuahidiVipi shida sio January Makamba tena?
Sehemu ya maokoto mengi ya bwerere !!Mm nashindwaga kuielewa serikali yetu kabisa kwann swala la nishati ya umeme wanalichukulia mzaa sana since 1980s hakuna seriousness kwenye hili swala ili ali wanaelewa kabisa bila umeme hakuna maendeleo ni kudanganyana tu..
Hawa viongozi wetu wanapataje usingizi kwenye nchi km hii yetu hata kujilikana kwake huko ulimwenguni tu ni kupapasapapasa..
Iseeee!
Hahahahhaa kudadeki mwaya yaani umenichekesha sana na hii tasifida yako. Mitaa yote ya Dar na mikoani huwa inaokoka na kunena kwa lugha hahahahMitaa inanena kwa lugha kumamake.
Makamba alizidiwa na mabeberu. Tusimlaumu jamani. Maharage alikuwa agent wa kuhakikisha umeme unaharibika kabisa maana ukiona serikali inaweka mtu toka private kwenye nishati ujue mmekwisha. Ila ipo siku ukweli utajulikana maana Makamba na Maharage wanajua walivyomhujumu Dkt Samia. Ila ni viumbe wabaya sana na bado Mwigulu sijui kwanini kamuacha yaani naye ni moja ya waliomharibia sana Mama na Nape akiongoza. Ila tunaamini vyombo vinawashughulikia hawa watukutuNi J Makamba hakufanya matengenezo yoyote licha ya kuahidi
Hatutaki kusikia jina la mtu kwamba fulani kafanya kitu fulani wakati kodi tunalipa walala hoiStrong institution ni watu. Sheria na taratibu ni mapendekezo tu.
Msimfanye Kipara aende kukesha katikati ya mkondo Bahari wa Nungwi ili amroge vizuri Bibi wa Kizimkazi.[emoji1787][emoji1787]GTs,
Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali.
Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi linalia.
Hii sisi kwa Dkt Makonda na Dkt Dotto Biteko, hakikisheni waliohujumu tanesco wakanakufa wote kisiasa wasiibuke tena wafe kabisa kabisa
Msoga Kingdom mmefeli vibaya sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamfufue uzikwe wewe kenge maji wewe.
Umekaa tu kuhubiri usukuma wako humu shwain
Kama tunataka tuendelee,iki kikundi cha Msoga gang ni lazima kiangamizwe!!Mm nashindwaga kuielewa serikali yetu kabisa kwann swala la nishati ya umeme wanalichukulia mzaa sana since 1980s hakuna seriousness kwenye hili swala ili hali wanaelewa kabisa bila umeme hakuna maendeleo ni kudanganyana tu..
Hawa wawekezaji tunaojidai nao kuwa tunamikakati ya kuwaleta watawekeza nini sasa wakati sisi wenyewe tumeshindwa kujimudu kinishati..
Hawa viongozi wetu wanapataje usingizi kwenye nchi km hii yetu hata kujilikana kwake huko ulimwenguni tu ni kupapasapapasa..
Iseeee!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mitaa inanena kwa lugha kumamake.
Bila kuwaangamiza hawa Panyaroad wa Msoga Kingdom,hatufiki.Yaani wanatakiwa wastaafishwe kwa maslahi ya Umma na iwe marufuku kugombea nafasi yoyote ya uongozi maisha yao yote!Makamba alizidiwa na mabeberu. Tusimlaumu jamani. Maharage alikuwa agent wa kuhakikisha umeme unaharibika kabisa maana ukiona serikali inaweka mtu toka private kwenye nishati ujue mmekwisha. Ila ipo siku ukweli utajulikana maana Makamba na Maharage wanajua walivyomhujumu Dkt Samia. Ila ni viumbe wabaya sana na bado Mwigulu sijui kwanini kamuacha yaani naye ni moja ya waliomharibia sana Mama na Nape akiongoza. Ila tunaamini vyombo vinawashughulikia hawa watukutu
Your a real PC of sh.....t.Kamfufue uzikwe wewe kenge maji wewe.
Umekaa tu kuhubiri usukuma wako humu shwain
Tunahitaji kubadili mitazamo yetu kwanza kabla hata ya hiyo strong institutions bila ya hiyo hilo hilo hitaji litabaki kuwa ndoto tu mnayoisimulia kila siku.Tunahitaji strong institutions na sio angekuwepo fulani,watu hupita ila taasisi zipo tuu.
Kiujumla wabongo huwa hatupo serious kwenye mambo yetu si serikali tu.Mm nashindwaga kuielewa serikali yetu kabisa kwann swala la nishati ya umeme wanalichukulia mzaa sana since 1980s hakuna seriousness kwenye hili swala ili hali wanaelewa kabisa bila umeme hakuna maendeleo ni kudanganyana tu..
Hawa wawekezaji tunaojidai nao kuwa tunamikakati ya kuwaleta watawekeza nini sasa wakati sisi wenyewe tumeshindwa kujimudu kinishati..
Hawa viongozi wetu wanapataje usingizi kwenye nchi km hii yetu hata kujilikana kwake huko ulimwenguni tu ni kupapasapapasa..
Iseeee!
Sie tunachomana moto kwa wizi wa simu ndio tunachoweza.Zambia hapo wanatuacha mbali suala la nishati ya umeme. Nchi ya kishamba sana hii. Inabidi ifike wakati kuwe na vikundi vya kuwamaliza hawa mbwa wawaue watatia akili wenzao wanaobaki.
Bila mindset ya hao watekelezaji wa mifumo ni ngumu. Si ulisikia Rostam alichokiongea kipindi kile kwani unadhani utani kuwa mimi naweza piga simu mahakamani na kesi ikaisha? Au wewe ndugu yako akikamatwa na ufisadi wa mfano kuiba hela za serikali cha kwanza kama familia si mtafunga na kufanya maombi wakati institution zetu zinasema kama kuna ushahidi afungwe ila ninyi kama ndugu mtajipanga kuhonga chochote kwa hakimu ndugu yenu atoke. Kwa ufupi wizi wa Tanzania ni mfumo wa watu na siyo sheriaTunahitaji strong institutions na sio angekuwepo fulani,watu hupita ila taasisi zipo tuu.