biznes_dealz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 392
- 153
- Thread starter
- #81
Taja jina la miwan huwezi semq unauza miwan ya kuzuia mionzi afu umekamilisha description miwan zipo nying taja jina la miwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja jina la miwan huwezi semq unauza miwan ya kuzuia mionzi afu umekamilisha description miwan zipo nying taja jina la miwan
Kwanini muuzaji anauza rahisi?dadavua
Mkuu unatakiwa kunijibu swali lang then ndio uniulizeKwanini asiuze rahisi fafanua
Ngoma drooMkuu unatakiwa kunijibu swali lang then ndio uniulize
Naona unajipigia prom in new id
Je ni Pana, maana hivi vitu kutoka China, vina kuwa na size ndogo kama miili yao
Kauli ya kibiashara ni ipi?
Acheni kutisha watu nyinyi mtu anatangaza biashara zake nyie mnakuja na maneno kibaaao kama waschana bwana izo miwani zinaitwa transition anti glare polarized Bei yke mara ya mwisho nimenunua cheap ilikua $150 tena ni sababu nilikua Bangladesh kule bei inakua chini sababu kuna viwanda... siku moja nilipita Mlimani city nikakuta frem tu wana uza 700,000/=tzs
Leo tu anasema 50000 ni bei kubwa si uchawi huo?
Alafu muuzaji akamwambia aende kwenye bei rahisi kwani sio lazima kununua kwake
We unasema hana kauli nzuri..
Apo nani hana kauli nzuri apo?
Jamii members badilikeni ujuaji mwingi ni ushamba.