Miwani ya macho

Miwani ya macho

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa miwani lens power (0.75). Naomba kufahamu wapi naweza pata miwani (frame na lens yake) kwa bei nafuu. I prefer photochromic lens kutokana na kutumia computer kwa mda mrefu.
 
CCBRT wana bei nzuri japo hawana selection nyingi za frames.

Pale Msasani Shoppers kuna wahindi ambao wanauza lakini bei zao zimechangamka sana.
 
Msasani Shoppers, Bei zao zipo juu sana. Maana waliniambia hiyo miwani niandae kama laki 3. Naona hii kuafford itakuwa ngumu. CCBRT nilikuwa najua wanapima tu kumbe na Miwani wanazo
 
Kweli kabisa bei zipo juu sana. Ndipo wakubwa wengi wanapochukulia miwani akiwemo Makonda.

CCBRT wana frames japo variety yao kwa miwani mizuri ni chache.

Maduka binafsi ya waswahili huwa wana bei nzuri kuliko za wahindi japo siwezi kukuelekeza exctaly.
 
Si plano hiyo lens ?
0.75 itakuwaje plano ?

Photocromatic lens kwa power hiyo wame muambia laki tatu ?

Je ingekuwa progressive ingekuwaje ?

Miwani nyingi kwa power hiyo sio zaidi ya laki na ishirini ikiwa ni pamoja na frame za kisasa kabisa ikiwa ni pamoja na antiglea kwa ajili ya mwanga wa computer

Au frame za kawaida hiyo miwani haizidi elfu 60

Nilichukua miwani Arusha huko wakati fulani kwa bei nzuri tu
 
Miwani nyingi kwa power hiyo sio zaidi ya laki na ishirini ikiwa ni pamoja na frame za kisasa kabisa

Au frame za kawaida hiyo miwani haizidi elfu 60
Yamakagashi, ni vizuri umwelekeze wapi pa kununua.
 
Kweli kabisa bei zipo juu sana. Ndipo wakubwa wengi wanapochukulia miwani akiwemo Makonda.

CCBRT wana frames japo variety yao kwa miwani mizuri ni chache.

Maduka binafsi ya waswahili huwa wana bei nzuri kuliko za wahindi japo siwezi kukuelekeza exctaly.
Nashukuru sana, at least you have opened my mind. Ndo maana pale shoppers waliniambia wanapokea bima za wabunge tu.
 
0.75 itakuwaje plano ?

Photocromatic lens kwa power hiyo wame muambia laki tatu ?

Je ingekuwa progressive ingekuwaje ?

Miwani nyingi kwa power hiyo sio zaidi ya laki na ishirini ikiwa ni pamoja na frame za kisasa kabisa ikiwa ni pamoja na antiglea kwa ajili ya mwanga wa computer

Au frame za kawaida hiyo miwani haizidi elfu 60

Nilichukua miwani Arusha huko wakati fulani kwa bei nzuri tu
mkuu hizo nazipatia wapi, Price range hiyo ni nzuri.. Naweza afford
 
Mkuu
Temeke Hospital Huduma Ya Kupima Inapatkana Pia Nina Mtu Yaani Ndugu Yangu Alikwenda Kupima Mwezi Uliopita Miwani Aliambiwa 30000/-

Ingawa Yako Unayohitaji Ni Maalum Sana Siwezi Kujua Bei Ila Ukipata Nafasi Watembee Huenda Ukapata Ufumbuzi Haraka Sana Pia Kwa Gharama Nafuu
 
Kennedy, glass au lense sio expensive. Tatizo linakuja kwenye frame na hasa frame nzuri na bora.
 
Back
Top Bottom