Miwani ya macho

Miwani ya macho

Lens 15@ each, flame chagua mwenyewe kadri ya uwezo wako. Kuanzia 15 elf na kuendelea....
 
Mkuu
Temeke Hospital Huduma Ya Kupima Inapatkana Pia Nina Mtu Yaani Ndugu Yangu Alikwenda Kupima Mwezi Uliopita Miwani Aliambiwa 30000/-

Ingawa Yako Unayohitaji Ni Maalum Sana Siwezi Kujua Bei Ila Ukipata Nafasi Watembee Huenda Ukapata Ufumbuzi Haraka Sana Pia Kwa Gharama Nafuu
Nipo karibu sana na halo Temeke, nitapita hapo kuangalia, amante sana Mr. Kennedy
 
Sorry jaman, unaweza kupima macho kwenye maduka wanayouza miwani na kununua hapo hapo au lazima hospital? Maana mimi nilipima hospital Ifakara nikawa Directed kutumia miwan bt hawakuwa nayo wao so nikapanga kununua mafukani ila sikununua,,, sasa kwa sasa nina mpango wa kufanya checkup tena na ninunue miwan
 
Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa miwani lens power (0.75). Naomba kufahamu wapi naweza pata miwani (frame na lens yake) kwa bei nafuu. I prefer photochromic lens kutokana na kutumia computer kwa mda mrefu.
Nenda Mnazi mmoja Hospital, kitengo cha Macho.
 
Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa miwani lens power (0.75). Naomba kufahamu wapi naweza pata miwani (frame na lens yake) kwa bei nafuu. I prefer photochromic lens kutokana na kutumia computer kwa mda mrefu.
Nitafte nikutengenezee miwan chamsingi njoo na vipimo bei maelewano ndogo Tu namba 0776371092
 
Back
Top Bottom