Nipo karibu sana na halo Temeke, nitapita hapo kuangalia, amante sana Mr. KennedyMkuu
Temeke Hospital Huduma Ya Kupima Inapatkana Pia Nina Mtu Yaani Ndugu Yangu Alikwenda Kupima Mwezi Uliopita Miwani Aliambiwa 30000/-
Ingawa Yako Unayohitaji Ni Maalum Sana Siwezi Kujua Bei Ila Ukipata Nafasi Watembee Huenda Ukapata Ufumbuzi Haraka Sana Pia Kwa Gharama Nafuu
unanyanyua kuvaa, kama miwani minginekila kitu. Kwa bei hiyo
Plz naomba unielekeze na mimi Mahali mlipohapa sokoni kwetu ni sh elfu 15
Mkuu unapatikana wapi ni vizuri ukituelekezaLens 15@ each, flame chagua mwenyewe kadri ya uwezo wako. Kuanzia 15 elf na kuendelea....
Nenda Mnazi mmoja Hospital, kitengo cha Macho.Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa miwani lens power (0.75). Naomba kufahamu wapi naweza pata miwani (frame na lens yake) kwa bei nafuu. I prefer photochromic lens kutokana na kutumia computer kwa mda mrefu.
Nitafte nikutengenezee miwan chamsingi njoo na vipimo bei maelewano ndogo Tu namba 0776371092Wakuu, Habarini
Naombeni msaada kwenye tuta.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya macho na kutoona kuona vizuri hususani kwenye mwanga mkali.nimefanya Eye diagnostic na kuwa recommended kuvaa miwani lens power (0.75). Naomba kufahamu wapi naweza pata miwani (frame na lens yake) kwa bei nafuu. I prefer photochromic lens kutokana na kutumia computer kwa mda mrefu.
Namba 0776371092Nenda Mnazi mmoja Hospital, kitengo cha Macho.